Kama Mumeo amepata ajali kawa kibwengo ana mikono wala miguu ale kwa jasho Lake sababu ni mwanaume?
Wewe kwanza ni wa kike au wa kiume(sina maana mbaya kuuliza hivi)Mwanaume
Mwnaume akikaa kwny nafasi yake(majukumu) na akaonesha mapenzi na kumjali mwanamke, hizo dharau na kiburi cha mwanamke atakua anasoma kwny magazeti tu.hakuna kitu kinachompa mwanamke furaha km kuoneshwa mapenz na kujaliwa na mwanaume.kiburi na dharau ni matokeo ya kukata tamaa na ww
Ndio ninaweza na baadhi ya sisi wanaume tunaweza ila hatuna ile roho ya changu chakwangu chako cha wote kama ilivyo kwenu nyinyiInategemea alikuwa ananifanyia mambo gani wakati yuko mzima kama alikuwa mzinzi na mnyanyasaji akipata matatizo atapambana tu kwa kweli ila kama alikuwa muaminifu na mstaarabu basi siwezi kumtupa naomba usiniambie kwamba sijui sitakiwi kulipa ubaya kwa ubaya kabla haujaniambia hivyo jiulize kwanza kama wewe ungeweza kulipa ubaya wowote wa mkeo kwa wema wako
Ingetokea kwako ndio ili tuone utakavyojiaminiKwahiyo kama mkeo ana kielimu flani na kule kazini kwao kapandishwa cheo utamuacha au kama ni mfanya biashara na biashara ikamchanganyia akakuzidi kipato utamuacha?hapo ninadhani ni masuala ya kutokujiamini...
Akili hawa watu hawana mimi nilimpa pesa 50000 ya biashara vidogo vidogo vya genge lengo mtu asiwe iddle na kumudu vitu vidogo vidogo vya home lakini kila siku nasikia pesa yangu pesa zangu tutakosana sasa naendelea na tathmini nikijiridhisha sitokuwa na maneno mengi nitamrudisha kwao kwa staili ya kwenda kusalimia na sitokuja mpa pesa yoyote mwanamke eti mradi ni ujinga unless nijiridhisheSisi tulishawajaribu mara kibao kuwafungulia miradi hata ya kushika 10,000/=, 10,000/= kwa siku na kuwatafutia kazi lkn tuliishia kuona cha mtema kuni so endeleeni kuwadanganya ambao bado hayajawakuta ila kwangu mimi ni BIG NO
Ndio ninaweza na baadhi ya sisi wanaume tunaweza ila hatuna ile roho ya changu chakwangu chako cha wote kama ilivyo kwenu nyinyi
Sjawahi msikia mwanaume kamkimbia mke kisa kapata matatizo ila kwa nyinyi kukimbia nimesikia na nimeshuhudia sana
Usilete point za zako za kusema mwanaume ni provider kwa hii scenario je kama anamatatizo ndo usimsaidie
Kwani kuna watu wanaolewa na watu wasiowapenda?haha...mkuu, hapo kwenye quote hapo.. watu si wangekua wanaoa na kuolewa na their first love? ama na watu wanaowapenda??
Sana mkuuAkiwa wa nje mkipendana sawa; maana ukiingiza kidogo atakuelewa ila hawa wa Bongo ni shida tupu.
Anaweza kukuaibisha hata mbele ya marafiki zake.
mcimba chumvi!Binafsi mpenzi wangu ananizidi hela kwa sana. Sema ni wapenzi hata sio wachumba but hunipa zawadi nyingi na gharama za kula bata huwa anatoa zaidi yangu. Hata hivo alinijua mapema kuwa mi mchimba chumvi. Na tunaheshimiana kwa kiasi chake
Nafhani ni mtazamo wakoMwanaume
Mwnaume akikaa kwny nafasi yake(majukumu) na akaonesha mapenzi na kumjali mwanamke, hizo dharau na kiburi cha mwanamke atakua anasoma kwny magazeti tu.hakuna kitu kinachompa mwanamke furaha km kuoneshwa mapenz na kujaliwa na mwanaume.kiburi na dharau ni matokeo ya kukata tamaa na ww
Sjui kwa nini hii point unapenda kuitumia unaonekana umejaa uzungu sana hivi wanaume na makazi yenu ya kimama kama kufua na kupika wanahusika vipi kukusaidia kama kazi ni nyingi utawekewa mfanyakaz ila kutuhusisha na hyo mikazi kama njia ya kuonyesha sjui equally responsibility, sjui equality ni ujinga grade AKwani ninyi mnatusaidiaga kazi za nyumbani? Si huwa mnaona kama vile kufanya hizo kazi ni dharau? Basi ndo mpambane sasa.
Sjui kwa nini hii point unapenda kuitumia unaonekana umejaa uzungu sana hivi wanaume na makazi yenu ya kimama kama kufua na kupika wanahusika vipi kukusaidia kama kazi ni nyingi utawekewa mfanyakaz ila kutuhusisha na hyo mikazi kama njia ya kuonyesha sjui equally responsibility, sjui equality ni ujinga grade A
Hivi edelyn umetokea wapi?Kwani wanaume nyie mnavyotaka wanawake tuwasaidie kutafuta pesa na kuhudumia familia siyo mambo ya kizungu hayo? Hizo ni tamaduni za kibongo?
Duniani mkuu!Hivi edelyn umetokea wapi?
Eti unconditional love?nyoooo
Hakuna mwanamke anafurahia hela yake kutumiwa na mwanaume,tena especially niwe nimeitafuta mwenyewe kwa jasho,patachimbika
Baadhi ya mijanaune ya sikuhizi yanapenda mteremko
Binafsi mwanaume akila hela yangu na heshima inashuka,hata Kama tunadate tu,na nitajiondoa kwenye hayo mahusiano haraka sana
Mwanamke hajaumbwa kulea dume lenye kengele zake bana,jiongezeni
Hahaha. They Blandish us into thinking that we are superior as they stealthily, uncannily exploit us. https://jamii.app/JFUserGuide em goddamn bitches..Sahihi kabisa mkuu. Esther Villar nilimwelewa sana, wanaume wengi watengenezwa kuhusudu na kulea ujinga wa wanawake na kuwafanya wao malaika.
Mtu anakwambia ukiona tatizo fulani au mabadiliko fulani kwa mwanamke basi wewe mwanaume ndio sababu, si upuuzi huo.