Mwanaume mwenzangu usioe mwanamke aliyekuzidi uchumi/Hela utanyanyasika na kufa mapema

Kama Mumeo amepata ajali kawa kibwengo ana mikono wala miguu ale kwa jasho Lake sababu ni mwanaume?

Inategemea alikuwa ananifanyia mambo gani wakati yuko mzima kama alikuwa mzinzi na mnyanyasaji akipata matatizo atapambana tu kwa kweli ila kama alikuwa muaminifu na mstaarabu basi siwezi kumtupa naomba usiniambie kwamba sijui sitakiwi kulipa ubaya kwa ubaya kabla haujaniambia hivyo jiulize kwanza kama wewe ungeweza kulipa ubaya wowote wa mkeo kwa wema wako
 
Mwanaume

Mwnaume akikaa kwny nafasi yake(majukumu) na akaonesha mapenzi na kumjali mwanamke, hizo dharau na kiburi cha mwanamke atakua anasoma kwny magazeti tu.hakuna kitu kinachompa mwanamke furaha km kuoneshwa mapenz na kujaliwa na mwanaume.kiburi na dharau ni matokeo ya kukata tamaa na ww
Wewe kwanza ni wa kike au wa kiume(sina maana mbaya kuuliza hivi)

Kwa hiyo unakataa kwamba hakuna wanawake wenye vipato sawa au zaidi ya waume zao ambao pamoja na waume zao kutekeleza hizo masculine duties lakini bado wanawake hao wameshindwa kuwa na utii kwa waume zao?
 
Inategemea alikuwa ananifanyia mambo gani wakati yuko mzima kama alikuwa mzinzi na mnyanyasaji akipata matatizo atapambana tu kwa kweli ila kama alikuwa muaminifu na mstaarabu basi siwezi kumtupa naomba usiniambie kwamba sijui sitakiwi kulipa ubaya kwa ubaya kabla haujaniambia hivyo jiulize kwanza kama wewe ungeweza kulipa ubaya wowote wa mkeo kwa wema wako
Ndio ninaweza na baadhi ya sisi wanaume tunaweza ila hatuna ile roho ya changu chakwangu chako cha wote kama ilivyo kwenu nyinyi

Sjawahi msikia mwanaume kamkimbia mke kisa kapata matatizo ila kwa nyinyi kukimbia nimesikia na nimeshuhudia sana

Usilete point za zako za kusema mwanaume ni provider kwa hii scenario je kama anamatatizo ndo usimsaidie
 
Kwahiyo kama mkeo ana kielimu flani na kule kazini kwao kapandishwa cheo utamuacha au kama ni mfanya biashara na biashara ikamchanganyia akakuzidi kipato utamuacha?hapo ninadhani ni masuala ya kutokujiamini...
Ingetokea kwako ndio ili tuone utakavyojiamini
 
Sisi tulishawajaribu mara kibao kuwafungulia miradi hata ya kushika 10,000/=, 10,000/= kwa siku na kuwatafutia kazi lkn tuliishia kuona cha mtema kuni so endeleeni kuwadanganya ambao bado hayajawakuta ila kwangu mimi ni BIG NO
Akili hawa watu hawana mimi nilimpa pesa 50000 ya biashara vidogo vidogo vya genge lengo mtu asiwe iddle na kumudu vitu vidogo vidogo vya home lakini kila siku nasikia pesa yangu pesa zangu tutakosana sasa naendelea na tathmini nikijiridhisha sitokuwa na maneno mengi nitamrudisha kwao kwa staili ya kwenda kusalimia na sitokuja mpa pesa yoyote mwanamke eti mradi ni ujinga unless nijiridhishe
 
Ndio ninaweza na baadhi ya sisi wanaume tunaweza ila hatuna ile roho ya changu chakwangu chako cha wote kama ilivyo kwenu nyinyi

Sjawahi msikia mwanaume kamkimbia mke kisa kapata matatizo ila kwa nyinyi kukimbia nimesikia na nimeshuhudia sana

Usilete point za zako za kusema mwanaume ni provider kwa hii scenario je kama anamatatizo ndo usimsaidie

Kwani ninyi mnatusaidiaga kazi za nyumbani? Si huwa mnaona kama vile kufanya hizo kazi ni dharau? Basi ndo mpambane sasa.
 
Binafsi mpenzi wangu ananizidi hela kwa sana. Sema ni wapenzi hata sio wachumba but hunipa zawadi nyingi na gharama za kula bata huwa anatoa zaidi yangu. Hata hivo alinijua mapema kuwa mi mchimba chumvi. Na tunaheshimiana kwa kiasi chake
mcimba chumvi!:oops::oops::oops:
 
Mwanaume

Mwnaume akikaa kwny nafasi yake(majukumu) na akaonesha mapenzi na kumjali mwanamke, hizo dharau na kiburi cha mwanamke atakua anasoma kwny magazeti tu.hakuna kitu kinachompa mwanamke furaha km kuoneshwa mapenz na kujaliwa na mwanaume.kiburi na dharau ni matokeo ya kukata tamaa na ww
Nafhani ni mtazamo wako
 
Humu kila mtu anatoa mtazamo wake na sio wa mwenzake. Ni namna ambavyo anaweza kuchanganua mambo kadiri ya uzoefu alionao.
 
Kwani ninyi mnatusaidiaga kazi za nyumbani? Si huwa mnaona kama vile kufanya hizo kazi ni dharau? Basi ndo mpambane sasa.
Sjui kwa nini hii point unapenda kuitumia unaonekana umejaa uzungu sana hivi wanaume na makazi yenu ya kimama kama kufua na kupika wanahusika vipi kukusaidia kama kazi ni nyingi utawekewa mfanyakaz ila kutuhusisha na hyo mikazi kama njia ya kuonyesha sjui equally responsibility, sjui equality ni ujinga grade A
 
Kwani wanaume nyie mnavyotaka wanawake tuwasaidie kutafuta pesa na kuhudumia familia siyo mambo ya kizungu hayo? Hizo ni tamaduni za kibongo?
Sjui kwa nini hii point unapenda kuitumia unaonekana umejaa uzungu sana hivi wanaume na makazi yenu ya kimama kama kufua na kupika wanahusika vipi kukusaidia kama kazi ni nyingi utawekewa mfanyakaz ila kutuhusisha na hyo mikazi kama njia ya kuonyesha sjui equally responsibility, sjui equality ni ujinga grade A
 
Eti unconditional love?nyoooo
Hakuna mwanamke anafurahia hela yake kutumiwa na mwanaume,tena especially niwe nimeitafuta mwenyewe kwa jasho,patachimbika
Baadhi ya mijanaune ya sikuhizi yanapenda mteremko
Binafsi mwanaume akila hela yangu na heshima inashuka,hata Kama tunadate tu,na nitajiondoa kwenye hayo mahusiano haraka sana
Mwanamke hajaumbwa kulea dume lenye kengele zake bana,jiongezeni

Haha, umenijibu kwa hasira 🤣🤣🤣
 
Pole sana...

Angalia usije kufariki kwa stress za mwanamke mweye kipato...

Mbona wao hawafi kwa stress za vipato vyetu...

Cc: mahondaw
 
Sahihi kabisa mkuu. Esther Villar nilimwelewa sana, wanaume wengi watengenezwa kuhusudu na kulea ujinga wa wanawake na kuwafanya wao malaika.

Mtu anakwambia ukiona tatizo fulani au mabadiliko fulani kwa mwanamke basi wewe mwanaume ndio sababu, si upuuzi huo.
Hahaha. They Blandish us into thinking that we are superior as they stealthily, uncannily exploit us. https://jamii.app/JFUserGuide em goddamn bitches..
 
34 Reactions
Reply
Back
Top Bottom