Heee makubwa aya! !!!!wakwanza wangu cjui kama ni mzima au alikufa
Niko hai mkuu,za miaka?
Unaamka asubuhi bila hata swala unaanza na ngono aisee wonders shall never end
Mie nlijua ushafariki!!!
Ha ha ha haaaa, kha!! asante.Heee makubwa aya! !!!!wakwanza wangu cjui kama ni
mzima au alikufa
Uwongooo
Vp,umeolewa skuiz?
umesikia wapi....?
Wasichana wengi wana bikiriwa na wavulana...wanakuja kukutana na wanaume Tayari hawana bikira...michezo ya utotoni..na,Wengine walio wabikiri ni mateja now...