Mwanaume Mpende Mkeo..Mwanamke Mtii Mumeo !!.

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
23,908
70,846
NB.. Andiko hili ni kwaajili ya Me na Ke ambao kwao MAISHA YA NDOA NI SEHEM YA IBADA .( hawa hawana habari za Kibamia, hogoo, sijui kuwah maliza , watu ambao n.k)

Ikiwa unahitaji Utulivu wa Ndoa yako , basi hakikisha, hutoki ndani ya haya maandiko

WAEFESO 5:22 ---

Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu.

23--Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.

24---Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo......

( UTII KATIKA KILA JAMBO , YAANI WE MWANAUME LINAPOKUJA SUALA LA UTII YAPASWA MWANAMKE AKUTII KAMA ANAVYOMTII YESU ).

25--Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake;

26--ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno

27---apate kujiletea Kanisa tukufu, lisilo na ila wala kunyanzi wala lo lote kama hayo; bali liwe takatifu lisilo na mawaa.

28--- Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe.

29---Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa.

30---

33----Lakini kila mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; wala mke asikose kumstahi mumewe.

Mwisho wa Kunukuu!!

Unajua Mungu alimuumba Mwanaume Kwa mfanano wake , na mwanamke akaumbwa toka katika mifupa na nyama za mwanaume.

Yaan Pasipo Mwanaume, hamna Mwanamke....

Sasa hili jambo linamaana kubwa sana katika maisha yetu ya kila SIKU.

MUNGU alitupa Nafasi kubwa sana sisi wanaume, yaan unapokua Mwanaume unapaswa Ujivunie kua Mwanaume .

Na Linapokuja suala la Uanaume wako ndani ya NDOA, kumbuka kwamba wewe ni KICHWA cha Familia.

MWANAUME unapokua Kichwa, basi palipobaki ni KUMPENDA MWANAMKE WAKO NA NAKUJITOA KWAAJILI YAKE..

Kitabu hili kwenda wa WAEFESO , Mtume Alifananisha UPENDO ambao ni sawa na kujipenda mwili wako,... Ukweli nikua, HAMNA mwanadamu asopenda na kuujali mwili wake !!.

VIVO ivo, Mwanamke akahitajika yaan ikawa ni ORDER , kua mwanamke LAZIMA AMTII MWANAUME WAKE KWA KILA JAMBO yaan kila jambooo ndugu zangu.

Tena anaambiwa, amtiii kama ambavyo anamtii Bwana Wetu .

Sasa Bwana Wetu aliishije ?? Bwana Wetu alifanya nn ? .

Wewe Mwanaume tambua yakua, Unaposhindwa kua Kichwa .. hautakaa KAMWE kua familia bora ( hili halina mjadala)

Wewe mwanamke, tambua. Unaposhindwa kua mtii Kwa mumeo ,USITEGEMEE familia bora ( hili halina mjadala).

Bahati mbaya ,wanaume vichwa vimebakia vya kunyoa Panki, viduku, kulewa, uzinzi na kila aina ya ujinga ambao MOJA KWA MOJA unaenda kuondoa UTII ambao mke angempa Mwanaume!!!.

Bahati mbaya zaidi, Wanawake wamekua jeuri ,utandawazi umewafanya wapambane kutafuta usawa , usawa ambao wanajikuta wanapoteza UTII Kwa wanaume zao !!! ... Matokeo Yake , ndoa zimevunjikaaa nakuishia kujiita FEMINIST!!!

wewe ?? KAMWE, MWANAMKE HATOKAA KULINGANA NA MWANAUME !!.

Kikubwa, wee Mwanamke muombee Mumeo , Kichwani kwake ajaze vitu vitakavyokujenga wewe na familia yako !!.
 
Yu heri mumewe akipata mke mwema, hata jumla ya siku zake zitakuwa maradufu, mwanamke Howard humfurahisha muwewe,....inaendelea.
Mwanamke mtulivu ni tunu kwa Bwana....
Haya madini utayakuta kwenye vitabu vye hekima, biblia ya kikatoliki. Yoshua bin Sira
 
Hekima nzuri sana mkuu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom