Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,433
- 11,749
Kwa hiyo wazungu hawachepuki sio
Kwa wastani jibu lake ni "ndiyo"!
Huwezi walinganisha na ngozi nyeusi hata kidogo
Ndo maana pia kwa wenzetu hata swala la ugonjwa hatari wa Ukimwi kwao siyo ishu kabisa!