Mwanaume kuwa na siri

asante kwa ushauri
 
Huyo hana future na wewe, yani jambo la kwanza kama mwanaume hana future na wewe huwa msiri hakuelezi issue nyingi za ndani kuhusu yeye au hata familia. pamoja na hayo mueleze umsikie kauli yake.
 
ukute siri yenyewe ni pin za atm, au pattern ya simu, password ya computer, password za email.

usiposem nini umefichwa kwa kweli itakuwa ngumu kukusaidia.

vingenevyo we timiza wajibu wako naye atatimiza wake. afu jipime siyo mambo ya kung'ang'ania siri tuuuuuuu
 
Unaitwa happy eli? Huyo mwanaume wako sio Eli79 kweli??[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sikuona hii..[emoji1] [emoji1]
Hapana, sina mke aitwae Happy wa Eli. Pia, sina siri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…