Mwanaume kuwa na siri

Mwanaume kuwa na siri

Yes He is.. Ningekuwa Mimi ni huyu Dada , huwa sidhani kama ningekuwa na amani in my heart I would just walk away... Life is too short .. After all mbona wanaume wapo wengi tuu... Pressure zote ni za nini za kujitakia , mmmmhmmh... Ila ndio kila MTU na moyo wake na maisha yake... Thanks...
asante kwa ushauri
 
Huyo hana future na wewe, yani jambo la kwanza kama mwanaume hana future na wewe huwa msiri hakuelezi issue nyingi za ndani kuhusu yeye au hata familia. pamoja na hayo mueleze umsikie kauli yake.
 
ukute siri yenyewe ni pin za atm, au pattern ya simu, password ya computer, password za email.

usiposem nini umefichwa kwa kweli itakuwa ngumu kukusaidia.

vingenevyo we timiza wajibu wako naye atatimiza wake. afu jipime siyo mambo ya kung'ang'ania siri tuuuuuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom