Mwanaume kuwa na siri

Mwanaume kuwa na siri

happy eli

Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
7
Reaction score
5
Mimi nina mpenzi wangu ambaye tumeishi naye muda mrefu.Tatizo la mpenzi wangu ni kuwa msiri na mambo yake anayofanya hapendi kuweka wazi, ninashindwa kuelewa kuwa ni kwanini.

Nakaribisha maoni yenu
 
Kaa nae chini mweleze.,ila kama hamna future yoyote ni ngumu kukuweka wazi kila jambo.,Ungekuwa mke sawa...,
 
Mda mrefu ndo upi
ww upo waz kwake??
Unajitegemea kiuchumi?
una mchallenge kimaendeleo?
Unataka akuambie kama nn

Ukinijbu.ntakushaur jins ya kufanya
 
This is bad, real bad, Michael Jackson - Kanye West.
 
badilisha tittle na uongeze mnofu kwenye main body labda tutaweza kukushauri.
 
Mimi nina mpenzi wangu ambaye tumeishi naye muda mrefu.
Tatizo la mpenzi wangu ni kuwa msiri na mambo yake anayofanya hapendi kuweka wazi, ninashindwa kuelewa kuwa ni kwanini.

Nakaribisha maoni yenu,
Pole.
 
Pole dada, haja kuweka kuwa wake wa maisha, ipo siku atakwambia Baby nataka kuoa mwenzio
 
Mimi nina mpenzi wangu ambaye tumeishi naye muda mrefu.Tatizo la mpenzi wangu ni kuwa msiri na mambo yake anayofanya hapendi kuweka wazi, ninashindwa kuelewa kuwa ni kwanini.

Nakaribisha maoni yenu
Wee kama hakusaliti siri zake za nini zinakuhusu nini. Kila mtu anamaisha na hulka yake na ukitaka awe muwazi anza wewe kuwa muwazi kwake kwa kila kitu ufanyacho/upitapo nk.
 
Mimi nina mpenzi wangu ambaye tumeishi naye muda mrefu.Tatizo la mpenzi wangu ni kuwa msiri na mambo yake anayofanya hapendi kuweka wazi, ninashindwa kuelewa kuwa ni kwanini.

Nakaribisha maoni yenu
Inawezekana anataka akudrop pale atakapomaliza kukutumia hivyo hataki ujue mambo yake usije ukamlipizia au kumdhuru atakapokuumiza. Sio sawa kuwa msiri iwapo mna malengo ya kuwa pamoja mda mrefu
 
Mimi nina mpenzi wangu ambaye tumeishi naye muda mrefu.Tatizo la mpenzi wangu ni kuwa msiri na mambo yake anayofanya hapendi kuweka wazi, ninashindwa kuelewa kuwa ni kwanini.

Nakaribisha maoni yenu
Hakuna viumbe wenye siri duniani kama wanawake kubali au hukatae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom