NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
- Thread starter
-
- #221
kwani mkuu kumfurahisha mkeo mara moja moja shida ipo wapi?Tatizo la akina mama ukitimiza ombi lake moja linafuatia jingine, naona ipo siku jamaa ataombwa avae bikini au vile vikambakamba ili mamsap afurahi
Sio shida kabisa na ndivyo inavyotakiwa, ishu ni kwamba unamfurahisha katika mambo gani!kwani mkuu kumfurahisha mkeo mara moja moja shida ipo wapi?
lakini sijaomba pesa wala roho yake anipe nimeomba kitu kiduchu sanaaaaaaaaa,lakini haya hamna neno..Sio shida kabisa na ndivyo inavyotakiwa, ishu ni kwamba unamfurahisha katika mambo gani!
Ni kumuwekea ngumu tu,kwa mwanaume no lazima ibaki kuwa no regardless whatMkuu wewe umekubali kitenge huyu hataki hata kitenge..
Kwani mtu akisema Kanga hua ametukana eeh?Ww bidada unawashwa na nini aiseee!!!!! Yaani mwanaume avae kanga moko
Duuuuu!!! Hawa wanawake wa pwani wanaweza hata kukuogesha uwanjani mbele za watu etiii mahaba
Potelea mbali hakuna huo unyumbu huku kiumeni[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Enhee!!Khanga!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo kuna siku mwanaume atapelekwa kwenye kitchen party kimatani matani hivyo
Apumzke kwa aman inshallah mzee wetuHahaaaaa marehemu baba Angu alikuwa anapenda Sana kuvaa khanga au msuli siku za weekend akishinda Nyumbani umefanya nimkumbuke