NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
Mkuu sina maana mbaya yani akiwa home anavaa kama kikoi sio mbaya sasa yeye hataki kusikia nampa kanga bora avae kanzu na suruali kipande kuliko kukaa kanga....Yaani unataka mmeo avae kanga? Nifafanulie hapo
Ananikeraaaaaaaaa...Kama utotoni hakuona mzazi wake akivaa basi ujue nayeye hatovaa
[emoji23] [emoji23] Yaani unataka umwone chura yake, hawezi kukubali pia kuna wanaume hawapendi hata kusikia kujaribu vitu vya kike.Mkuu sina maana mbaya yani akiwa home anavaa kama kikoi sio mbaya sasa yeye hataki kusikia nampa kanga bora avae kanzu na suruali kipande kuliko kukaa kanga....
Sheeda. Tumeanza kufundishwa uswahiliYaani unataka mmeo avae kanga? Nifafanulie hapo
Hapo kuna siku mwanaume atapelekwa kwenye kitchen party kimatani matani hivyoSheeda. Tumeanza kufundishwa uswahili
Hata sipendi...[emoji23] [emoji23] Yaani unataka umwone chura yake, hawezi kukubali pia kuna wanaume hawapendi hata kusikia kujaribu vitu vya kike.
KAMA HAVAI BASI BORA UMTAFUTIE NGUO NYINGINE ANAYOPENDA SIO KANGA, HATA MIMI KANGA KIUKWELI SIWEZI KUWEKA KIUNONI.
Unataka uone nini kwake yaaniHata sipendi...
Habari ya Leo Waungwana,
Naomba kuuliza Wanaume ni hivi Napenda sana kumuona mume wangu amevaa Kanga yangu baada ya kikoi,mfano on weekend yuko nyumbani anavaa kanga yake ya kiuno chumbani,ila
huyu wangu mimi ni 17yrs sasa tangu amenioa hajawahi kuvaa kanga,kama atavaa basi ni kikoi
na pia akiwa anakwenda msikitini Ijumaa,au kifupi atavaa anapo vaa kanzu ila sio eti ame relax
nimemuomba wapi anakwambia sasa unataka kunichefua eeeh mwisho utanambia nivae Bra,
yani ongea yote atakufanyia mwambie natamani unipikie atapika ila kuvaa kanga hata sijui anajisikiaje...
nyumbani havai hata sijui nimfanyeje nimejitahidi wapiiiiiii,
Wenzangu wenye waume zenu ebu nipeni maujanja,yote nimeweza ila hili limenishindaaa..
Yani hata watoto anawafundisha the same wakitoka msikitini haya nendeni mka change vueni Vikoi ananikeraaaaaaaaaa ila nanyamaza tuu ....