jerry joshy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 402
- 504
Hakuna boxer zinazohifadhi uchafu kama za mpira yaanI huwa zina uvundo saana ni bora mtu ununue cotton kuliko hizo otherwise utaishia kunuka.
Wakina dada muwe makini mtalamba uchafu mpaka mpate fangasi halafu mbaya zaidi ukute mtu mwenyewe hajui kubadili boxer mpaka week ipite hapo ni balaa bora uvaa loose boxer kuliko hayo mamipira kwanza yanaharibu maumbile