Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,920
- 3,759
Mambo ya kijanga sana , wachaga ni kati ya kabila lenye eneo dogo ila nikabila la tatu kwa wingi hawana nguvu za kiume kivip ?Hao wanatakiwa wapate watu kutoka kanda ya ziwa.. Huko si ndio wanawake waliandamana waume zao hawana nguvu za kiume 🤣🤣🤣
Kaandika upumbavu tu , machame ni kati ya sehemu yenye watu wenye nguvu ya kiuchumi na wasomi wakutosha , mambo ya kupigana sijui kayatoa wapiPicha iko wapi?
Wanawake zao ndo waliandamana pia walikua wanavuka kwenda kenya kupata hudumaMambo ya kijanga sana , wachaga ni kati ya kabila lenye eneo dogo ila nikabila la tatu kwa wingi hawana nguvu za kiume kivip ?
🚮🚮 hawafai kwako , mada zako unadai wanawake wote hawafai na wewe ni mweupe na blabla za kijinga tu 🚮Mm n mchaga kutoka wilaya siha,kwaiyo msipinge maana mabint wa kimachame hawafai,na ss n majiran yao na nna wafahamu
Hayo ni mambo ya kisiasa yakitokea huko rombo hayana ukweli wowoteWanawake zao ndo waliandamana pia walikua wanavuka kwenda kenya kupata huduma
Wewe uliwahi kuishi tunaopinga ni wazawa wa hukoMleta mada ana hoja asibezwe wakuu
Niliwahi ishi maeneo ya masama kiukwwl yaliyosemwa yana kaukwel fulani
Kabisa tena wale ambao tayari wamekata tamaa kabisa na wamechakaa na uleviKwa mila za kichaga mke akimpga mume inaashiria mume atakufa muda si mrefu na ni taboo! Ikitokea inachukuliwa serious sana na wazee wa ukoo, labda ndoa za walevi kule kwenye mbege zisizo rasmi