Mwanaume kujiamini

mmh kumbe kuita muhudumu ni kipimo cha kujiamini....ahsantreee
 
kuna wanaume wengine hawapendi kuongea ongea, anapenda manzi ake ndo awe incharge.....
 
Huyo unayekuwa naye anaogopa bill kubwa.Hivyo anajipanga kwanza kwa kusoma menu.
 
wewe ni kero kabisa, Hicho sio kigezo cha kujiamini kumwita muhudumu.....
 
:A S-eek::A S-eek: unam-bania riziki kwa huyo mhudumu thats y anajifanya hajiamini (-----).
 
yan kushindwa kumuita muhudumu ndo sijiamini? nimuite ili unichune eeh?
 
kuna wanaume wengine hawapendi kuongea ongea, anapenda manzi ake ndo awe incharge.....

hahahaa! kama mimi huwa namuachia mpenz wangu anahusika na masuala yote, hata kulipa bill huwa namkabidh pesa yeye ndio analipia! cyo mie nianze kuita wahudumu mara kuagizia, namkubali sana mpenz wangu!
 
nikishalewa ndo atajua kiasi gani najiamini, af wahudum nawaita kwa majina yao
 
kuna wanaume wengine hawapendi kuongea ongea, anapenda manzi ake ndo awe incharge.....

hahahaa! kama mimi huwa namuachia mpenz wangu anahusika na masuala yote, hata kulipa bill huwa namkabidh pesa yeye ndio analipia! cyo mie nianze kuita wahudumu mara kuagizia, namkubali sana mpenz wangu!

hiyo hata mie naipenda...inafanya najisikia umuhimu wangu kwake maana anakuwa Ana-value na ku-trust my decisions :third:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…