Mwanaume kuchukua mshahara wa mke

Mwanaume kuchukua mshahara wa mke

siyo hela tu ata papuchi ni mali yake toa hela wewe kama ulikubali kuwa ubavu wake basi na hela ni zake ni sawa na kuzitoa mfuko wa nyuma na kuziweka mfuko wa mbele.
Na Kama hanipatii hela ya matumizi!how is that OK ?
 
Kama unafanyia upuuzi acha achukue tu akusaidie kufanya maamuzi ya msingi kwa familia. Demokrasia nazo zinahitaji mke mwerevu sio kila mwanamke tu,huwez kupewa mshahara kwa mfano wa laki 8 halafu unanunua wigi la laki 3 wakati mumeo keshakwambia kipaumbele cha mwaka huu ni kujenga nyumba ambayo mtakaa wewe na wanao hata yeye akifa...jipime kwanza akili yako,kama mbovu acha akusaidie
 
Amekunyang'anya? Ulimkopesha kagoma kulipa?
Kuna hata mkataba wa kuonyesha hilo?

Mahakamani ili kesi ianzishwe kuna kitu wanaita Locus Standi, ni kama kusema kinachoanzishwa mahakamani ni sharti kiwe na mashiko ya kukifanya kianzishwe.

Kama hakina wakili wa utetezi anaipindua kesi asubuhi tu.

Sasa hapa najaribu kutengeneza scenario kichwani ambayo itakua na locus standi ya mume kuchukua pesa kwa nguvu naona ni ama umshtaki kwa kosa la unyang'anyi, kama alitumia silaha basi ni wizi wa silaha. Ila sana sana hua naona kesi nyingi ni za shambulio la mwili ndiyo zinaripotiwa.

Lakini kabla hujamfikisha mahakamani hebu jiulize hii move ina umuhimu/ ulazima kiasi hicho?

Ukishaicheza hiyo move, nini unataka kifuate? Talaka au ndoa iendelee?

Kama ni talaka, kwanini usiitafute talaka moja kwa moja badala ya kuanza na hii kesi?

Kama ni ndoa, unadhani mtakua na mawasiliano imara baada ya kumshtaki?
 
Jf ina wanawake wa kila rangi na tabia.. kuna malay* wapo walioachika kwa ujuaji,kiburi yani tabia zote harafu na wale wadangaji wa badoo wapo humu... shauri yako ukitegemea aina ya hao watu wakupe ushauri utavunja ndoa otherwise unless huyo jamaa awe anakutia tu
 
Hivi ndoa ya hivyo ya nini kwa mfano. Mpaka swali limeletwa ujue hajafurahia hilo jambo
 
Hivi ndoa ya hivyo ya nini kwa mfano. Mpaka swali limeletwa ujue hajafurahia hilo jambo
Kesi kama hii haihitaji kuskiza upande wa pili manake inaonekana dhahiri huyu mleta thread ni mbinafsi...

What if mmewe amechukua kwa ajili ya kuongeza mtaji kwenye biashara au kujenga nyumba?...

Huyu hafai kuwa mke ni kidonda cha tumbo hiki kinataka ela kwa ajili ya wigi
 
Inategemea makubaliano,Mume wangu anachukua salary yangu tunachanganya na ya kwake,kabla ya yote tunatoa ela ya matumizi ya nyumbani,inayobaki tunapanga kufanyia maendeleo.Hata zikitokea tips kazini tunazileta mezani.
Imetulazimu kufanya hivi kwa kua tulipitia kipindi kigumu sana katika maisha yetu ya ndoa,kula yetu ni MUNGU tu ndo alikuwa anajua inatoka wapi.
MUNGU Ni Mwaminifu Alituvusha salama,bila uvumilivu tungeshaachana siku nyingi,Tunamshukuru Mungu pia alitubariki na watoto
 
Kesi kama hii haihitaji kuskiza upande wa pili manake inaonekana dhahiri huyu mleta thread ni mbinafsi...

What if mmewe amechukua kwa ajili ya kuongeza mtaji kwenye biashara au kujenga nyumba?...

Huyu hafai kuwa mke ni kidonda cha tumbo hiki kinataka ela kwa ajili ya wigi
Hiyobiashara ambayo yeye haijui!
 
Back
Top Bottom