The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 828
- 2,110
Hahahaha inaonekana huwa unampapasa kweli jamaa?Muosha huoshwa. Ninyi mbona mnapapasa ya kwetu na nyie ya kwenu tuacheni tupapase
Jamaa gani?Hahahaha inaonekana huwa unampapasa kweli jamaa?
Si mmeoJamaa gani?
SijuiSi mmeo
Kuboost ni kufanyaje?Kushikashika sio tatizo ila wale wenye Tabia za kuboost ndio wapite mbali
Wakuu salam,
Hivi mwanaume kupapaswa papaswa kwenye matako na mpenzi wako, eti huo ni ufala au ni ujanja?
Wengine wanasema huenda hiyo ikachangia mwanaume kuwa shoga wengine wanasema hayo ni moja ya mapenzi!
Wadau nyie mnamaoni gani?
Nawasilisha
huwa una lengo gani kuyashikaMuosha huoshwa. Ninyi mbona mnapapasa ya kwetu na nyie ya kwenu tuacheni tupapase
Mimi mwanamke akinifanyia hivyo tunagawana majengo ya serikali
Yeye anaenda mochwari
Mimi jela
Mimi mwanamke akinifanyia hivyo tunagawana majengo ya serikali
Yeye anaenda mochwari
Mimi jela
ππππππAkikushika matako au kukupima rinda?