Mwanaume kuchapiwa ni kujitakia

Thank you for the Thread. Its a good lesson. Jamani ukisema Wa nini wenzio wanajiuliza watampata lini. ( Hii ni kwa wale wasiojua Thamani ya Mke/ Mume). Lakini pia dear kuna some of men/ women hata ufanye nini ni lazima watende tuu Maovu yao . Dear misingi mengine ya mahusiano inatakiwa kutengezwa since the day one when two people have met. Hii inasaidia sana kujua ni mke/ mume gani unayeoa / kuolewa. These days kuna vitu vinapuuziwa kuzingatiwa kabla ya mahusiano. Matokeo yake tunaoa or kkuolewa baada ya hapo si muda mrefu tunaanza kulia na kujuta.
Binafsi ninaamini kama wote wawili wakimjua Mungu kwa kuwa na hofu nae ndani ya mioyo na nafsi basi hata hakutakuwa na migogoro mingi mpaka kufikia pabaya. Thanks.
 

Kwanini mnampa Mungu majukumu ambayo mnaweza kutekeleza?
Kikubwa ni kuwa waaminifu sie wenyewe, Mungu ametupa akili na utashi tuutumie katika maisha yetu... we unataka utumie akili hiyo na utashi huo wapi na katika maamuzi kama haya.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…