Mwanaume kubeba mimba

Kiimani....
Kuna mzigo wa dhambi mkuubwa saana unao, na Mungu anakukumbusha kua utubu.
Omba saana sali sana kwa iman yako ukitubu kwa kulia hutoota tena ndoto hiyo na kemea pia.
Sijui walokole wako je...... kila jambo kwao majibu ni omba sana sali sana toa sadaka.....wana kera wanafikiri kila mtu kama wao
 
Sijui walokole wako je...... kila jambo kwao majibu ni omba sana sali sana toa sadaka.....wana kera wanafikiri kila mtu kama wao
Mi sio mlokole...
Na ndo maana nmemwambia kwa imani yake, iwe mkristu myahudi muislam au mpagani yote heri
Ila kumbuka ipo siku utatama kusikia haya unayoyasikia na hautayasikia, mungu akupe neema saana.
 
MIMI HUWA SIAMINI NDOTO MAANA UKIZIFUATA NDIO MWANZO WA USHIRIKINA
 
Kaka tumelelewa tofouti sehemu mbalimbali...... kwangu ata mke angu siwezi kumsimlia ndoto kama hiyo naka nayo mpaka nakufa nao.... kwetu mwana ume ni mwana ume tu
Huo ndiyo uananaume kuwa na kifua!!!!! Ubarikiwe
 
Safi sana kwa comment hii na hapa ndo tunapata kujua akili za watanzania wengi zilivyo za ajabu.
 
Mkuu mleta uzi amefikwa na tatizo ndiyo mana kaleta hapa kupata ushauri, so kuwa na busara na kama huna mchango pita kimya tafadhali
 
Mkuu mleta uzi amefikwa na tatizo ndiyo mana kaleta hapa kupata ushauri, so kuwa na busara na kama huna mchango pita kimya tafadhali
Mchango wangu ni kumkumbusha kuwa na kifua! Huoni kwa mwanaume ni mchango maridhawa au ulitaka nimpe mchango wa kubadili jinsia? Unatakiwa na wewe ukomae maana bado upo upo
 
Mchango wangu ni kumkumbusha kuwa na kifua! Huoni kwa mwanaume ni mchango maridhawa au ulitaka nimpe mchango wa kubadili jinsia? Unatakiwa na wewe ukomae maana bado upo upo
Ni vizri kuwa open upate ushshauri kukaa na tatizo sio suluhisho
 
Kwani nini maana ya privacy ya jf, unajua inafanya vipi kazi.
 
Ndoto azina maana kawaida tu azina maana yoyote labda kwa mitume mimi nishaota ndoto nyingi ila sio kwamba inatokea kweli then kingine wanaosema jamaa ana dalili za ushoga huko ni kukosa akili kwasababu ndoto hapangi mtu kuota bali inakuja yenyewe automatically hata mwanaume lijari akiota anagongwa hana kosa hana uwezo wakujipangia ndoto yakuota mtu akilala hana mamlaka na nini aote.
 
Mkuu popobawa anaweza kuwa kakutia bendi, jaribu kutosa kudole uone kama kina zama bila shida ujue tayari. Jiandae kisaikolojia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…