Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Huwa zinaisha, maisha ni kupanda na kushuka. Kuna watu walikuwa na mipesa kibao sasa hivi wapowapo tu sio kwamba walikuwa wazembe...ni maisha tu yamewachezea mchezo mbayaTafuta pesa, oa, zaa. Huo ndo mtiririko sahihi.
Kuoa ni kama kutoa ajira.Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake, kila mmoja wetu atabeba mzigo wake mwenyewe. Kuoa zama hizi ni adhabu ya kujitakia.
Nakazia [emoji375][emoji375]Huwa zinaisha, maisha ni kupanda na kushuka. Kuna watu walikuwa na mipesa kibao sasa hivi wapowapo tu sio kwamba walikuwa zembe...ni maisha tu yamewachezea mchezo mbaya
na alieolewa kwani hana kipato?Kuoa ni kama kutoa ajira.
Mnadharau sana nyie mwanaume akikosa hela...ila sawa tuu maana ata sie tunadharau sana mwanamke akikosa takoJidanganyeni tu
Khaa na wewe unaunga mkono hoja?Hahahaaa, bora kukimbia na kuelekea kusikojulikana, maana yajayo yanasikitisha.
Huu ni uzi bora wa mwezi huu.
Wakiachana, mali za mke hugawanywa?na alieolewa kwani hana kipato?
mkio pesa zenu huishia kwa michepko mwache kujimwambafy