Bob12 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2017 Posts 11,422 Reaction score 58,790 Mar 11, 2017 Thread starter #61 werrason said: Promo!!! Click to expand... Ha ha ha Karibu
Bob12 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2017 Posts 11,422 Reaction score 58,790 Mar 11, 2017 Thread starter #62 Jambo Kubwa said: pale pana umuhim asee. Watu na shida zetu lakini panatufanya tuzisahau kidgo Click to expand... Umeonaaa eee
Jambo Kubwa said: pale pana umuhim asee. Watu na shida zetu lakini panatufanya tuzisahau kidgo Click to expand... Umeonaaa eee
Bob12 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2017 Posts 11,422 Reaction score 58,790 Mar 11, 2017 Thread starter #63 fund xaa said: msomali umezielewa naona kimya mno Click to expand... Atakua kashaelewa huyo
Bob12 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2017 Posts 11,422 Reaction score 58,790 Mar 11, 2017 Thread starter #64 Paprika said: Vizuri Click to expand... Sio vizuri,changamkia dili hilo
Klaas JF-Expert Member Joined Sep 22, 2016 Posts 216 Reaction score 175 Mar 11, 2017 #65 Mchanganyiko wote huo wa nini? Tiba nzuri ni mazoezi na kunywa maji mengi. Utakuwa bora kwa kila aina ya mechi na kila aina ya uwanja
Mchanganyiko wote huo wa nini? Tiba nzuri ni mazoezi na kunywa maji mengi. Utakuwa bora kwa kila aina ya mechi na kila aina ya uwanja
Bob12 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2017 Posts 11,422 Reaction score 58,790 Mar 11, 2017 Thread starter #66 Klaas said: Mchanganyiko wote huo wa nini? Tiba nzuri ni mazoezi na kunywa maji mengi. Utakuwa bora kwa kila aina ya mechi na kila aina ya uwanja Click to expand... we bwana we. Sasa nitaongeza na maji mengi na mazoezi pia japo zoezi napiga daily. Asante kwa ushauri
Klaas said: Mchanganyiko wote huo wa nini? Tiba nzuri ni mazoezi na kunywa maji mengi. Utakuwa bora kwa kila aina ya mechi na kila aina ya uwanja Click to expand... we bwana we. Sasa nitaongeza na maji mengi na mazoezi pia japo zoezi napiga daily. Asante kwa ushauri
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,334 Mar 11, 2017 #67 Mondray said: mahondaw Mbona jamaa yangu usser kala ban tatizo nn Click to expand... Atakua ka abuse mtu.
Mondray said: mahondaw Mbona jamaa yangu usser kala ban tatizo nn Click to expand... Atakua ka abuse mtu.
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,562 Mar 11, 2017 #68 mahondaw said: Atakua ka abuse mtu. Click to expand... Itakua kuna mtu kamletea manyoka nyoka, daah watu wengine bwana. Nadhan leo atatoka Kama sio kosa kubwa
mahondaw said: Atakua ka abuse mtu. Click to expand... Itakua kuna mtu kamletea manyoka nyoka, daah watu wengine bwana. Nadhan leo atatoka Kama sio kosa kubwa
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,197 Reaction score 3,901 Mar 11, 2017 #69 Pole. Mpaka utumie coctail yote hiyo ndo unanyanyua!! Wengine kuona tu.kuituliza inakuwa ngumu!!
Bob12 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2017 Posts 11,422 Reaction score 58,790 Mar 11, 2017 Thread starter #70 maringeni said: Pole. Mpaka utumie coctail yote hiyo ndo unanyanyua!! Wengine kuona tu.kuituliza inakuwa ngumu!! Click to expand... Na hayo ni maoni pia Asante mkuu kwa maoni
maringeni said: Pole. Mpaka utumie coctail yote hiyo ndo unanyanyua!! Wengine kuona tu.kuituliza inakuwa ngumu!! Click to expand... Na hayo ni maoni pia Asante mkuu kwa maoni