kwanza umewadhalilisha wanawake kuwafananisha na wanamme wa aina hiyo, watake radhi.
Pili anayerubuniwa na mwe.hu, nani mwe.hu zaidi?
wanaume wa siku hizi wanapendwa kulelewa.....
Ila mwanamke anayekopa hela anampa 'boifrendi' loh..........pole yake sana ni kuwa yupo desparate au ni nini?
Hivi jamani inakuwaje sikuhizi vijana wengi kupenda mabinti walioajiriwa? Mara nyingi vijana hawa shule ni ndogo na wanawadanganyika mabinti kuwa wanafanya na kumiliki biashara kubwa zinazowaingizia kipato wakati sio kweli. Muda mwinigi hushinda kijiweni. wakisha wapata mabinti hao basi wao ni kula kulala. binti aende kazini yeye yupo tu nyumbani. tabia mabay walionayo ni ku-divert namba za simu za wapenzi wao ili wafahmu wameongea nani siku, wanaiba PASSWORD za email za wapenzi wao, na PIN namba za ATM. wanawashawishi waombe mikopo kwenye mabenki ili wafanye biashara, lakini fedha hiyo huishia kufanyia starehe. Kama hiyo haitoshi wanawazuia wapenzi wao kutosaidia ndugu zao hata wadogo zao utadhani pesa ni zao au wao ndio waliwasomesha. matokeo yake ni mabintihawa kuishi maisha ya utumwa wa mapenzi kwa kuwatumikia manaume/ au wapenzi wao.hivi huu kweli ni uungwana?
Hehehehe unachekesha kweli wewe, mbona sisi wanaume tunaumizwa sana hilo swala la kutokusaidia ndugu?
Unakuta ndugu wa mwanaume akija nyumbani basi mke anavuta mdomo na madongo ya kichini chini, lakini yeye ndugu zake miguu juuu kwenye sofa na mastory na vicheko kibao. mme ndugu wakija yeye anashinda chumbani au anaenda kwa shoga zake.
Swala la mapenzi ni makubaliano ya wawili, tena bora anayemchukua wa kijiweni kuliko yule anaetumia DILDO, viungo bandia vya kiume kujiridhisha. Au kusagana.
Kwa hili naona haujafikiria, jaribu kufanya uchunguzi tena.