Mwanaume kama binti

Kuna viumbe wawili ambao huwa nashangaa kwanini wanachukiwa,inawezekana mimi ndio niko nje ya hii dunia sijui walikosea nini

Mmoja ni huyo kwenye picha hapo
Mwingine tunae hapa jukwaani anaitwa GENTAMICIN

Sasa kama hiyo picha ina shida gani hata aanzishiwe uzi wa mwanaume kama binti?
 
Hoja [emoji41]
 
Mkuu Kama hujaona shida n wewe subir uzae mtoto wa kiume ndio utajua hujui
 
Uyo wa mitandaoni uko sahii,
Uyu wa jf nakupinga, ana mdomo mchafu Sana mfatilie vizur ndo maana ban hazimuishi kila Mara.
 

KHAA....!

Kwa hiyo.. Unataka Kusema Aliyeanzisha 'Sredi'... ni mtu Anayetokea MBEYA... Yaani ni MMBEYA....!
 
Tatizo lao wanapenda kujitutumua sana, so kila wafanyalo nalo linachukiwa.

Hapo kwenye picha sioni tatizo.
 
Uyo wa mitandaoni uko sahii,
Uyu wa jf nakupinga, ana mdomo mchafu Sana mfatilie vizur ndo maana ban hazimuishi kila Mara.
Sure mwamba ana mdogo mchafu utadhani anatumia mkun.d.u kuongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…