Baada ya tendo la ndoa mwanaume upendelea kulala. Kwa mwanamke ni tofauti, yeye baada ya tendo la ndoa anapendelea mpenzi wake aendelee kumkukumbatia kwa dakika kazaa. Wanapenda kusikia neno Asante au Nakupenda . Wanawake wengi wanasema, baada ya mwanaume kukojoa, anageuka upande mwingine na anaamua kulala usingizi. Wanasema wanajaribu kutojisikia kuumia moyoni ila wanajiuliza "ANANIPENDA KWELI MIMI"
Mwanaume sikia, Baada ya kumaliza tendo la ndoa chukuwa muda wa ziada kumkumbatia mpenzi wako na umwambie nakupenda. Mda mfupi atajisikia tayari kulala, kisha nyinyi nyote wawili mtalala kwa pamoja.
Natoa somo tu, ukitaka unaacha, ukitaka unachukuwa. Hapa tunatoa bure sehemu nyingine kwa pesa.
WENGINE HATA HAWAJALI...jamani hapa jf kuna mambo sana!!
Kumbe ni muhimu ke abembelezwe
ndipo apate usingizi sikujua mie!!
Acha wanaume wapewe somo lao
wengine wananuka aiseee
Yaani nianze tena ku-snuggle baada ya kupasua mbegu? Na usingizi wote ule?
Wangejua jinsi busting a nut ilivyo bonge la sleep-aid wala wasingelalamika aisee.
Heck, I start passing out in the middle of nutting. And when I'm done nutting I'm like a dead weight:biggrin1:
Very rude......
Mkuu umeijibu kitaalamu sana, dah... wewe ni daktari nini?Nah it's not. You people just don't understand. The passing out is involuntary. It's chemically induced. The body chemistry changes after orgasm. Some of the chemicals get out of whack. Some shoot up and some dip down causing the tiredness feeling (the sleepiness).Some of the culprit chemicals are prolactin and gamma amino butyric acid. So cut us some slack because we don't do it on purpose. Blame our biochemical make-up.
Mkuu umeijibu kitaalamu sana, dah... wewe ni daktari nini?
Baada ya tendo la ndoa mwanaume upendelea kulala. Kwa mwanamke ni tofauti, yeye baada ya tendo la ndoa anapendelea mpenzi wake aendelee kumkukumbatia kwa dakika kazaa. Wanapenda kusikia neno Asante au Nakupenda . Wanawake wengi wanasema, baada ya mwanaume kukojoa, anageuka upande mwingine na anaamua kulala usingizi. Wanasema wanajaribu kutojisikia kuumia moyoni ila wanajiuliza ANANIPENDA KWELI MIMI
Mwanaume sikia, Baada ya kumaliza tendo la ndoa chukuwa muda wa ziada kumkumbatia mpenzi wako na umwambie nakupenda. Mda mfupi atajisikia tayari kulala, kisha nyinyi nyote wawili mtalala kwa pamoja.
Natoa somo tu, ukitaka unaacha, ukitaka unachukuwa. Hapa tunatoa bure sehemu nyingine kwa pesa.