Kuna mwanaume wa kuchukua mtu mjamzito????Hizo pesa alizonazo huyo rafiki yako pengine ndio sababu ya huyo jamaa kuwa mzito wa kufanya maamuzi. Ninachojaribu kusema hapa ni kuwa huenda kuna manyanyaso makubwa sana anayapata kutoka kwa huyo dada au kuna vijitabia vya jeuri na kiburi cha fedha kinachofanywa na huyo dada ukizingatia huyo jamaa hayuko vzr sana mfukoni. Kitu ambacho wadada wengi wanashindwa kuelewa ni kuwa mwanaume anahitaji kupewa heshima kama mume haijalishi hali aliyonayo.
Ushauri:
Huyo rafiki yako ajichunguze kwanza kabla hajaanza kutupa lawama kwa jamaa yake, pengine kuna mambo anakosea na jamaa anahisi akiingia kwenye ndoa yatamsumbua zaidi.
Ikishindikana hapo basi atumie akili ya kuzaliwa na aachane na harakati za kubisha hodi ukutani akitegemea mlango kufunguka.
NB: Wanaume wapo wengi.
Ndio hapo sasa...kesha haribu futureNi wewe huyo. Usimsingizie mtu. Sa ukiachika utaolewa na nan akat upo kibend mama
Yaani unatufanya sisi watoto wadogooooooooo! unamwita mwanaume Jina Mchumba wa mwenzio! Acha utoto kichwa cha habari kinasema ni wewe,afu content unaleta ...eti rafiki yangu ! Huyo jamaa hakupendi ila ameshindwa kukwambia usepe! JiongezeHabari zenu wana jamvi, kuna kisa kinanichanganya naombeni ushauri wenu.
Kuna rafiki yangu amekua na boyfrend huu ni mwaka wa 9 ni tangu wako chuo shule. Walivyomaliza shule mdada akapata kazi nzuri tu na mkaka amekaa sana kitaa ila kwa sasa amepata kazi wizara moja serikalini.
Tofauti iliyopo ni huyu dada ana hela nyingi sana kumpita mkaka, mdada ana gari ni mwaka wa tatu huu lakini mkaka bado anaswampa kwa miguu.
Tatizo ni huyu kaka amekua haoneshi dira yoyoye ya uhusiano wao. Mdada amedai ndoa mpaka amechoka.
Miezi mi4 au 5 iliyopita mdada akapata ujauzito mkaka hayuko tayari kwenda kujitambulisha kwa kina mdada wala kumtambulisha mchumba kwao.
Haoneshi dalili zozote za kutaka kuachana, ila inapokuja suala la ndoa hasemi kitu, wanaweza wakapanga siku ikifika mkaka anakua busy.
Toka mdada apate mimba mkaka hajawai kuchangia hata sh.10 ya matunda kwa mdada tho mdada anajiweza haitaji hela.
Suala inakuja pale mdada haelewi je aachane na huyu mkaka asonge na maisha yake au aendelee kumsubiria siku asiyoijua?
Au amlazimishe kumuoa kwa nguvu? Amvute kumpeleka kwao? Ndoto za mkaka ni kununua gari na vitu vidogo vidogo but sio kua na familia coz haoneshi utayari wowote.
Umri wao ni miaka 27 kwa 29 mkaka.
Ushauri wenu wakuu
Hilo ndio kosa ambalo wanawake tulio wengi huwa tunalifanya. Kujitegesha hadi kupata mimba hilo tayari ni kosa ameshafanya hasa kwa mtu ambaye hakuwa na muelekeo.
Pia hakuna kilichoharibika kwa kuwa uwezo anao alee hiyo mimba mwisho wa siku ajizalie mwanae. Hakuna haja ya kuendelea kuumiza kichwa kwa mtu asiye na muelekeo.
Hizo pesa alizonazo huyo rafiki yako pengine ndio sababu ya huyo jamaa kuwa mzito wa kufanya maamuzi. Ninachojaribu kusema hapa ni kuwa huenda kuna manyanyaso makubwa sana anayapata kutoka kwa huyo dada au kuna vijitabia vya jeuri na kiburi cha fedha kinachofanywa na huyo dada ukizingatia huyo jamaa hayuko vzr sana mfukoni. Kitu ambacho wadada wengi wanashindwa kuelewa ni kuwa mwanaume anahitaji kupewa heshima kama mume haijalishi hali aliyonayo.
Ushauri:
Huyo rafiki yako ajichunguze kwanza kabla hajaanza kutupa lawama kwa jamaa yake, pengine kuna mambo anakosea na jamaa anahisi akiingia kwenye ndoa yatamsumbua zaidi.
Ikishindikana hapo basi atumie akili ya kuzaliwa na aachane na harakati za kubisha hodi ukutani akitegemea mlango kufunguka.
NB: Wanaume wapo wengi.
Facts!Mi naona uyo kaka anataka awe stable kwanza kimaisha ndo aoe ni wale aina ya wanaume wasiopenda wawe na wanawake waliowazd kipato asifanye kosa la kumlazimisha mwanaume kuoa coz ata akiolewa kama mwanaume hajapenda ata ndoa ataiona chungu mwanaume anatakiwa apropose mwenyew
watu wengine huja kwa vivuli vya rafiki, akipata ushauri anauchukua yeyeumemuuliza rafiki yako sababu kubwa ya kukimbilia ndoa.... au amepata tetesi nje...!!!!
hahahahahahha mkuuu mbavu zangu,Usitegeshe mimba kwa mwanaume asiye na malengo kwa kuwa tu jamaa ana uwezo au ili kuongeza Upendo.
Siku hizi wakaka hawabustiwi kwa mimba.
Ukitega mimba ndiyo kwanza anakukimbia.
Mbona kuna vitu vingi vya kumpima mwanaume kama anakupenda? Hapo ndipo mnapo haribu madada.
Tatizo linalokuja baina ya wapenzi;
Upendo unazidi kipimo cha akili.
Yaani unatufanya sisi watoto wadogooooooooo! unamwita mwanaume Jina Mchumba wa mwenzio! Acha utoto kichwa cha habari kinasema ni wewe,afu content unaleta ...eti rafiki yangu ! Huyo jamaa hakupendi ila ameshindwa kukwambia usepe! Jiongeze
mkuuu ujue nakupendaga sanaNi bora ubaki mmoja kuliko udhani mko wawili wakati mwenzio anakuona kisiki tu,wadada chukueni hatua msilazimishe kuishi na mtu ambae haonyeshi furaha kuwa na wewe mtaishi kwa maficho ficho mpaka lini? Kumbuka Akupendae kweli hakuachi uteseke kwa jambo lililo ndani ya uwezo wake
Kumbe na wee umeshtuka aseeNi wewe huyo. Usimsingizie mtu. Sa ukiachika utaolewa na nan akat upo kibend mama
Rafiki yake lkn anajua details kuliko muhusika[emoji15] [emoji15] uwongo mwingine banaaYaani unatufanya sisi watoto wadogooooooooo! unamwita mwanaume Jina Mchumba wa mwenzio! Acha utoto kichwa cha habari kinasema ni wewe,afu content unaleta ...eti rafiki yangu ! Huyo jamaa hakupendi ila ameshindwa kukwambia usepe! Jiongeze
Asante, tupendane kwa ajili ya Allah (M/Mungu)mkuuu ujue nakupendaga sana
loooh mawazo yako kuntu