Mwanaume ishi kwa ndoto, malengo, na mipango

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,465
8,277
Hivi vilio vyote vya wanaume kulia na wanawake ni matokeo ya kukiuka hayo niliyo yaorodhesha .

Mwanaume ukiishi katika ndoto zako hakuna mwanamke atakae kuumiza walio wengi watakusumbua tu na sio kukuumiza. Kwa sababu muda mwingi akili zako na maono yako yatakua katika ndoto zako.

Mwanaume ukiweza kuishi katika malengo yako na kuyasimamia niamini Mimi hakuna mwanamke atakae kuumiza zaidi ya kuwaona ni wa kawaida Sana na ni kakundi ka wajinga flani hivi wasio na muelekeo hivyo kwako ni kuwaendesha vile utakavyo

Mwanaume ishi kwenye plani zako...kwenye plani hapa ni poja na kupangua plani moja Hadi nyingine Hadi ushindi upatikane.

Haya maujinga yote wanayo wafanyia wanawake ni matokeo ya kukosa hayo na vipaombele .

Mwanaume jipambanie jijue kabisa maishani mwako unataka watoto wangapi na kwa mama wangapi na wataelewa wapi...! Iwe kwa uwepo wa mama yao au bila ya mama yao .

Mwanaume kuwa na hobby itakayo kufanya u refresh na katika hobby hiyo hakikisha wewe mwenyewe ndio chanzo Cha furaha yako ....mfano Mimi binafsi Nina kundi la refreshment na Mara nyingi huwa tunafanya tour maeneo Yale yasio na gharama kabisa na Mara nyingi tunatumia baiskeli na tukifika huko ni kula na kunywa tukiwa boys tu na hamuwezi amini tunaweza poteza hata masaa 72 isijitokeze hata stori ya mwanamke au mademu na kifupi ikifika siku ya kwenda tour sisikilizi la yoyote awe mke au Nani ilimradi Nina afya lazima nifanye .

Ila wanaume wengi mmwacha vitu Kama hivi kwa kisingizio mmekua lkn ni ujinga mtupu cos nyie ni mateka wa wanawake wenu kwa kisingizio Cha kukua.

Wanaume amkeni....ishini maisha yenu muifurahie dunia...dunia ni tamu hii....hao wanawake ni special group yaani ni kundi la watu wenye mahitaji maalumu ..liwepo lisiwepo poa tu....mbona Adam kabla ya kuletewa Hawa alifurahi tu ....
 
mkuu hizi ndoto, malengo na plan ukizichachamalikia utakufa huku huujui utamu wa binadamu mwenzio

msijifanye mna misimamo.
Sawa ila dreams na plans ni muhimu zaidi kuliko mwanamke.
Kuingia kwenye mahusiano na mwanamke bila ya kumpatia majukumu ya kufanya huleta disaster mbeleni
Fuatilia mafundisho ya the late Dr. Myles Munroe utaelewa zaidi
 
mkuu hizi ndoto, malengo na plan ukizichachamalikia utakufa huku huujui utamu wa binadamu mwenzio

msijifanye mna misimamo.
Ukiweza kuyasimamia hayo hizi mbususu utakula Kama unavyo kunywa maji ...sio Kama Sasa unavyo fukuzia kwa shida
 
Sawa ila dreams na plans ni muhimu zaidi kuliko mwanamke.
Kuingia kwenye mahusiano na mwanamke bila ya kumpatia majukumu ya kufanya huleta disaster mbeleni
Fuatilia mafundisho ya the late Dr. Myles Munroe utaelewa zaidi
Waache waandelee kuishi Kama funza
 
Hujui utamu wa pale katikati ya mapaja wewe..
anyway najua watapita kimya dada zetu kwani wameacha violence siku hizi.
 
Hujui utamu wa pale katikati ya mapaja wewe..
anyway najua watapita kimya dada zetu kwani wameacha violence siku hizi.
Hapo Kati unaweza ukashoboka Napo na usipapate au ukala kwa mbinde Sana .... Na unaweza usishobike Napo na ukapala Kama unavuna mahindi vile one by another na Mambo yako yanasonga bila tatizo
 
Nakupa degree ya heshima 🤸🕴️

Wazungu wanasema you r living my word.

Mimi nakosana hata na nani Kwa maamuzi yangu lkn majuzi niliudhiwa na ndg yangu nahitaji gari, kipato Chang ni kati ya 900k-Mil 1. Ndgu akaniambia Kwa kipato changu sisitahili kumiliki.what a joke. Nilichukia Sana.

Katika maisha yangu nili plan kuoa mapema Sana,nilifanya.

Nikajijenga Kwanza kabla ya kununua chombo....

Ada international school zinatudai Yes.

Lkn nisimiliki kweli. How come
 
Moja kati ya ndoto, malengo na plans za wanaume wengi rijali... Ni kuwa na familia bora yenye upendo,amani na furaha.. We endelea kupoteza masaa 72 na boys wako.. TIME WILL TELL
Et anawaza kuwa na watoto na wasipolelewa na mama yao et fresh tu hiyo ni akili kweli hawa ndo wanaleta watoto bila mpango na makezi zero wanaishia kutumia bangi na kuwa magasho
 
Et anawaza kuwa na watoto na wasipolelewa na mama yao et fresh tu hiyo ni akili kweli hawa ndo wanaleta watoto bila mpango na makezi zero wanaishia kutumia bangi na kuwa magasho
Hivi out ya kukaa siku tatu yan masaa 72.. Unaenda na baiskeli kweli... Huyu jamaa bhana.. Au chai hii
 
mkuu hizi ndoto, malengo na plan ukizichachamalikia utakufa huku huujui utamu wa binadamu mwenzio

msijifanye mna misimamo.
K zinaua bro. Unaweza usife kwa magonjwa lakini kamba ya elfu 3 kutoka mfukoni mwako inatosha kuondoa uhai wako
 
Back
Top Bottom