Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,385
- 5,817
Kabisa mkuuUjumbe umeeleweka vizuri?😂😂😂😂😂
Kabisa mkuuUjumbe umeeleweka vizuri?😂😂😂😂😂
Naona kijana anataka kuuponza wakati uamuzi sahihi upo.Umesema vyema
Hao wote uliowataja wana waume zao,Wewe dogo ni fala sana, why ung'ang'ane na mke wa Mwanaume mwenzio yamkini wanawake ni wengi sana kiliko ata sisi au unatamani kupumuliwa kisogoni?
Kuna single mothers
Kuna wajane
Kuna wanaojiuza
Kuna waliofeli shule n.k n.k
Come on.!!