Mwanaume HIV positive 30 above

mimi sijui khali yangu ya afya, bandiko lako limenipa nguvu ngoja kesho nikachek kama ntakuwa (ve+) utaniona kwa pm yako.

kuwa (ve+) si kitu, ukijitunza maisha yanaenda sawa kabisa
 
watu wana majibu ya kunya as if mleta mada kasema jambo jipya?

mbona mkiambiwa mvae condom hamtaki? So na.nyinyi yatawakuta.
 
We unataka mwanaume wa nn na una HIV tayari? Si mtabadilishana hao viruses?
Dah, very sad kusoma comment Kama hizi katika zama Kama hizi. Huu unyanyapaa mpaka lini? Are you any better kuzidi yeye? Wewe tu Ndo mwenye haki ya kuwa na mahitaji emotionally and physically?
watu Kama nyinyi mnahitaji kupata hepatitis b
 
nlishasahau matumizi ya condoma.. na sina muda wakutumia condoms au kunukanuka mafuta ya condoms///
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom