Akili Pesa
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 617
- 854
unaelewa kuwa msichana huwa anachumbia isipokuwa wanaona aibu kuweka wazi anaogopa asichekwe kuwa sio tamaduniAnayechumbia ndio anapiga goti.
Kwa picha hiyo anayechumbia ndio kapiga goti.unaelewa kuwa msichana huwa anachumbia isipokuwa wanaona aibu kuweka wazi anaogopa asichekwe kuwa sio tamaduni
Sasa nimekuelewaKwa picha hiyo anayechumbia ndio kapiga goti.
Hapo mwanaume ndio anaolewa!Sasa nimekuelewa
ha ha ha Sawa kabisa na hiyo pete hata ikiwa ya buku 3 atakaa anaiangalia wiki nzima usiku na mchana anaigeuza geuza haamini kama ni p;ete aunini sijui, we ulijuajeunaelewa kuwa msichana huwa anachumbia isipokuwa wanaona aibu kuweka wazi anaogopa asichekwe kuwa sio tamaduni
Haya manjonjo sasa mwanaume huwa anaolewa,Hapo mwanaume ndio anaolewa!
HahahYeyote aliyetayari kupiga goti atapiga. Msitake kufanya maisha magumu zaidi ya yalivyo.
manengelo Njoo hapa ujibu maana uko mbioni