zifa za mwanaume bora n hiz..
1.hanywi pombe
2. Havuti sigara
3. Mkweli
4. Mchamungu
5. Hachepuki
6. Handsome
7. Mpole
8. Ana hela
9. Anajua mapenzi
10. HAYUPO DUNIANI
Sisi wa Duniani tuvumiliane tu maana vita ya kumtafuta mume bora haijawahi mwacha mtu salamaa
Sent using
Jamii Forums mobile app