Mwanaume aua wamarekani wawili kwa kujaribu kumzuia kuwadhalilisha wanawake

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,785
20,163
Mwanaume mmoja nchini Marekani amewachoma kisu wasafari wawili wa treni nchini Marekani baada ya kujaribu kumzuia kuwadhalilisha wanawake wawili ambao ni Waislamu. Polisi walimtambua mshambuliaji ambae alikamatwa kuwa ni Jeremy Joseph mwenye umri wa miaka 35.

=======

A man fatally stabbed two passengers aboard a Portland, Oregon, commuter train after they tried to stop him from harassing two young women who appeared to be Muslim, police said on Saturday.

Police identified the assailant, who was arrested soon after the Friday afternoon attack, as Jeremy Joseph Christian of Portland, a 35-year-old convicted felon.

A senior researcher with the Southern Poverty Law Center, in a blog post, said Christian's Facebook page showed he held "some racist and other extremist beliefs."

The attack unfolded hours before the start of Ramadan, Islam's holy month, when most of the world's 1.6 billion Muslims observe a daily religious fast.

"It's too early to say whether last night's violence was an act of domestic terrorism or a federal hate crime," Loren Cannon, special agent in charge of the Federal Bureau of Investigation in Oregon told a news conference on Saturday, adding the bureau had joined the investigation.

Christian started shouting ethnic and religious slurs, apparently at the two young women, one of whom wore a Muslim head-covering, the Portland Police Department said in a statement.
Jeremy Joseph Christian, 35, of North Portland, Oregon is pictured in this undated handout photo obtained by Reuters May 27, 2017. Portland Police Bureau/Handout via REUTERS
Jeremy Joseph Christian, 35, of North Portland, Oregon is pictured in this undated handout photo obtained by Reuters May 27, 2017. Portland Police Bureau/Handout via REUTERS

Three men who intervened were stabbed. Ricky John Best, 53, of Happy Valley, Oregon died at the scene, while Taliesin Myrddin Namkai Meche, 23, of Southeast Portland died at a hospital, police said. A third victim, Micah David-Cole Fletcher of 21, Southeast Portland, remained in a local hospital with serious but non-life-threatening injuries, police said.

Christian was booked on two counts of aggravated murder and charges of attempted murder, intimidation and being a felon in possession of a restricted weapon, and was ordered held without bail. His arraignment is scheduled for Tuesday.

The women, who had left the train before officers arrived, were later in contact with authorities, according to police, who have not released their identities.

Dyjuana Hudson, the mother of one of them, told The Oregonian newspaper her 16-year-old daughter, who is black, boarded the train with a Muslim friend, also a teenager, who was wearing a hijab.

The attacker approached the girls while screaming at them, Hudson told the newspaper, relaying an account her daughter had given her. "He was saying that Muslims should die," Hudson said.

On Friday, police said detectives wanted to speak to the two women. A detective later took a statement from her family, Hudson told the paper. She could not be reached for comment.

Police declined to release details of Christian's criminal history, but the newspaper reported he had been convicted of robbery, kidnapping and weapon charges, citing court records. It was not immediately clear if he had obtained an attorney.


The suspect had no known affiliation with a criminal gang member nor any mental health history, police said.

In a statement, the Council on American-Islamic Relations blamed an increase in anti-Muslim incidents in part on President Donald Trump's focus on militant Islamist groups and anti-immigrant rhetoric.

The administration has said that while it strongly opposes Islamist militants, it has no quarrel with Islam.

A Facebook page that appears to belong to Christian mentions "Jihadi Muslims" among people he disliked. The image on the page matches a photo of Christian released by police.

"There is too much hatred in the world right now and far too much violence. Our current political climate allows far too much room for those who spread bigotry," Portland Mayor Ted Wheeler told a news conference.

(Reporting by Alex Dobuzinskis in Los Angeles and Brendan O'Brien in Milwaukee; Editing by Tom Brown and James Dalgleish)

SOURCE: Reuters
 
Sikubaliani na mauwaji ya aina yoyote ila mkuu hao wana afadhali. Egypt hapo last year waliuwawa Wakristo kama sikosei 36 jana au juzi wameuwawa wengine 23 tena kwa wakati mmoja hapo bado wale waliochinjwa Kanisani na kuna makundi ya kidini yamekiri kuhusika na mauwaji hayo.sasa hawa tuseme wanadidimizwa kama hao waislam wa Merican au wanataka kufutwa kabisa duniani?
 
Ningekuwa na uwezo ningefuta dini zote hizi za kigeni tukabakia na dini za Mzizi Mkavuna, Msahana Jr , Musukuma Mb. na wengine Kama hao.

Maana, watu waliziamaini hizi dini za kigeni ila sasa zimegeuka mateso na vilio kwa wasio na hatia.

Pumbafu sana hizi dini uchwara.
 
Wakati mwingine ukifikiria unaweza sema sawa tu wakati mwingine unaweza sema sio sawakuw balaa tu.
 
Mkuu hii habari umepotosha. Ni kweli huyo muuaji alianza kuwatusi na kuwasemea hovyo wasichana (inadaiwa) kwa kuvaa hijab. Na kulikuwa kuna kila dalili kwamba alikuwa anataka kuwavamia ndipo wakatokea wasamaria wawili mmoja wa miaka 40 mwenye familia yake na watoto wanne na mwingine mwenye miaka 23 wote hawa ni Wazungu ambao waliwatetea hao mabinti.

Kumbe jamaa alikuwa ana kisu na kumchoma mmoja shingoni na mwingine tumboni na wote hawa kufariki lakini hao wasichana hakufanikiwa kuwagusa.
 
Waislamu wengine wawili wameuawa nchini Marekani ikiwa ni muendelezo wa ukandamizaji na unyanyasaji wa Waislamu hususan tangu alipoingia madarakani Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
Gaidi moja aliyekuwa na silaha amewashambulia Waislamu kadhaa na kuua wawili na kujeruhi wengine watatu baada ya kutoa matusi makali dhidi ya wanawake wawili waliokuwa wamevaa Hijabu ndani ya treni ya mji wa Portland katika jimbo la Oregon nchini Marekani.
Gaidi huyo mwenye umri wa miaka 35 ana historia ya kufanya jinai, na baada ya kufanya mauaji hayo ya kigaidi ametoroka bila ya kukamatwa na polisi.
Watu walioshuhudia ugaidi huo wamesema kuwa, gaidi huyo ana historia ya kuwatukana Waislamu mara kwa mara na amekuwa akitoa maneno ya kibaguzi dhidi ya waumini wa dini ya Kiislamu.
Kabla ya hapo pia, kulikuwa kumetangazwa habari ya mtu mmoja kumshambulia binti wa Kiislamu mwenye umri wa miaka 14 kaskazini mwa mji wa Atlanta katika jimbo la Georgia nchni Marekani.
Binti huyo wa Kiislamu alishambuliwa na mtu huyo mwenye chuki za kidini wakati alipokuwa ananunua vitu katika duka moja kubwa. Mtu huyo alimvua Hijabu binti huyo wa Kiislamu na kumwita gaidi.
Baraza la Uhusiano wa Kiislamu nchini Marekani limesema kuwa chuki zote hizo dhidi ya Waislamu zimeongezeka kutokana na uchochezi na matamshi ya kiuadui ya rais wa Marekani, Donald Trump.
Source; Parstoday.sw
My take: Hizi chuki za kidini baina ya imani tofauti zitatupeleka pabaya sio siri
Habari uliyoileta sio kweli. Ni wasichana wawili na muuaji alianza kuwakebehi ndani ya treni ndipo walipojitokeza watu wawili wakimsihi awache hizo kebehi zake na kwa hasira jamaa akawachoma visu hao jamaa waluokuwa wanaojaribu kumzuia asilete madhara. Waliouawa ni wasamaria wawili wanaume si wasichana.
 
ukristo vs uislam, hawatopatana kamwe, na siku wakipatana ni mwisho wa dunia umewadia
 
Hizi dini zinatupeleka puta sana. Ila mleta mada usikuze sana kisa ni waislamu waluouawa. Tatizo waislamu mnapenda sana kujivua lawama mapema sana, post yako inajieleza yani mpo very subjective
 
Watu hawajachoshwa na Uislamu bali na matendo yanayofanywa na waislamu.....yaani mkiwa kwenye mkusanyiko wa watu wengi akatokea mtu mwenye ndevu kama fagio...tayari nyoyo zinaanza kwenda mbio...

Japo kuwa uislamu sio ugaidi lakini ni vigumu kuutenganisha uislamu na vitendo vya kigaidi......kwani ni kibarua kizito kujua kuwa huyo aliyesimama mbele yako ni muislamu safi au ni gaidi kwani wanafanana kwa lugha mpaka mavazi......

Mungu atunusuru....
 
Back
Top Bottom