Princess maryam
Member
- Mar 25, 2021
- 94
- 228
- Thread starter
-
- #121
Hata wewe deepPond Nahisi umewaza kama mimi, ukisoma pointi namba 3 hadi namba 10 za mtoa mada, mbona hivyo ni vitu ambavyo sisi wanaume wengi tunawafanyia wanawake, ila wao wanawake hawataki kutufanyia hayo DeepPond Mzigua90 Princess maryam Evelyn Salt
Hakuna mwanamke waki bonge atakayeweza kumfanyia wanaume wake mambo kama hayo, labda mwanamke waki Zungu ndiyo wanaweza kwasababu wao hawana mfumo dume .Habari za jioni,
Naomba ushauri wa jinsi ya kumchukulia mwanaume mwenye tabia hizi katika mahusiano.
1. Hayuko tayari kukuoa
2. Hayuko tayari kukutambulisha popote
3. Hayuko tayari kukusaidia kwa lolote
4. Anataka umpe hela ya chakula
5. Anataka umpe vipodozi kama mafuta perfume
6. Anataka atumie gari yako
7. Anataka umtoe outing
8. Anataka aishi nyumbani kwako
9. Anataka umpe chakula
10. Anataka atumie kila kitu chako
Yote hayo ni kwa kisingizio cha siku mambo yake yakikaa sawa atakuoa.
Si bora akakae kwao ajipange mambo yake yakiwa sawa ndio arudi kwa bi dada?
Au nyie mna maoni gani?
Najaribu kumsaidia mtu hapa.
Mapenzi yenyewe yamenivuruga hadi sielewi wapi kuna nini π€£π€£π€£π€£π€£Ukraine kuna vita ,tetemeko liko turkey Mwlππππ
MarioooHabari za jioni,
Naomba ushauri wa jinsi ya kumchukulia mwanaume mwenye tabia hizi katika mahusiano.
1. Hayuko tayari kukuoa
2. Hayuko tayari kukutambulisha popote
3. Hayuko tayari kukusaidia kwa lolote
4. Anataka umpe hela ya chakula
5. Anataka umpe vipodozi kama mafuta perfume
6. Anataka atumie gari yako
7. Anataka umtoe outing
8. Anataka aishi nyumbani kwako
9. Anataka umpe chakula
10. Anataka atumie kila kitu chako
Yote hayo ni kwa kisingizio cha siku mambo yake yakikaa sawa atakuoa.
Si bora akakae kwao ajipange mambo yake yakiwa sawa ndio arudi kwa bi dada?
Au nyie mna maoni gani?
Najaribu kumsaidia mtu hapa.
,[emoji23][emoji23][emoji23]Are you sure huyu sio mwanamke wako?
Kama kaamua kumvumilia basi atulie....Anamvumilia one day anahisi mambo yatakaa sawa ila kwa tabia hizi duh