Princess maryam
Member
- Mar 25, 2021
- 94
- 228
Huyo unaemsaidia ndio hajielewi
Kuna kuvumilia na kupoteza muda asijichanganyeAnamvumilia one day anahisi mambo yatakaa sawa ila kwa tabia hizi duh
Are you sure huyu sio mwanamke wako?
Wewe mbona huu mwandiko wa kiume kabisa?
Unatutega tuingie kichwa kichwa
Tuma picha yako kwanza tukuone muonekano wako kama bonge umekwishaaa ni wa kutoa assist kama chama tu......Habari za jioni,
Naomba ushauri wa jinsi ya kumchukulia mwanaume mwenye tabia hizi katika mahusiano.
1. Hayuko tayari kukuoa
2. Hayuko tayari kukutambulisha popote
3. Hayuko tayari kukusaidia kwa lolote
4. Anataka umpe hela ya chakula
5. Anataka umpe vipodozi kama mafuta perfume
6. Anataka atumie gari yako
7. Anataka umtoe outing
8. Anataka aishi nyumbani kwako
9. Anataka umpe chakula
10. Anataka atumie kila kitu chako
Yote hayo ni kwa kisingizio cha siku mambo yake yakikaa sawa atakuoa.
Si bora akakae kwao ajipange mambo yake yakiwa sawa ndio arudi kwa bi dada???
Au nyie mna maoni gani?
Najaribu kumsaidia mtu hapa.
Hapo kosa sio la mwanaume. Huyo mwanamke anayefanya hayo yote ndio anazingua.Habari za jioni,
Naomba ushauri wa jinsi ya kumchukulia mwanaume mwenye tabia hizi katika mahusiano.
1. Hayuko tayari kukuoa
2. Hayuko tayari kukutambulisha popote
3. Hayuko tayari kukusaidia kwa lolote
4. Anataka umpe hela ya chakula
5. Anataka umpe vipodozi kama mafuta perfume
6. Anataka atumie gari yako
7. Anataka umtoe outing
8. Anataka aishi nyumbani kwako
9. Anataka umpe chakula
10. Anataka atumie kila kitu chako
Yote hayo ni kwa kisingizio cha siku mambo yake yakikaa sawa atakuoa.
Si bora akakae kwao ajipange mambo yake yakiwa sawa ndio arudi kwa bi dada???
Au nyie mna maoni gani?
Najaribu kumsaidia mtu hapa.
Ni zaidi ya masimango mkuuUlichoandika Ni masimango
Aachane nae ni mwanaume asiye na malengo atamsumbuaToa ushauri basi
Ni zaidi ya masimango mkuu
Nyie watu wawili hamkosekani kwenye nyuzi mnakaba mpaka penati😃Wanawake Kama mtoa mada
Ndo mnasababisha Watu wakatae NDOA
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Anazingua sn mtoa mada,Ni zaidi ya masimango mkuu