Mwanaume asieweza kuzaa anahitajika

Mwanaume asieweza kuzaa anahitajika

Ub***wang ni tiba tosha kwa mgumba mkristo/mlokole mbaguzi..
 
Sifa
- Si zaidi ya miaka 40
- Mkristo, mlokole atapewa kipaumbele
- Awe na kipato halali, anajitegemea.
- Elimu si chini ya form 4

Mimi sina uwezo wa kuzaa na nimejiajiri.
Karibu tufarijiane!
Kwa alieserious anifuate PM
Hivi kwa nini unakata tamaa namna hii.kama wewe ni mrokole mbona wako watumishi wa Mungu wanaweza kukusaidia njia uliyotumia kama kweli umemwamini Yesu si nzuri na kwanini umtafute mwanaume asiye zaa au umeamua kuandika tu kuwafurahisha watu
 
Unahitaji mlokole, inaonekana umeokoka. Kama umeokoka usikate tamaa na kusema huwezi kuzaa. Yote yawezekana kwake yeye aaminiye, imani yako itakuponya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom