ila sura ikiwa ngumu sana, unaanza kutafuta nyepesi ya kusuuzia lol, bora nini mvua au jua
Una miaka mingapi? Bado unapewa apetite na sura?
Una-date wenye miaka mingapi? Wasiojua how to unleash ur dragons kwa ujuzi hadi utizame sura? Pole kwa kweli lol
kama sura mali tungekimbia kwa wanawake wenzetu lol
Hivi mlipita unyagoni kweli nyie?
Au ndo unyago wa Magomeni?
Au chicken hizi chicken party?
Mwanamme anapimwa kwa ujuzi wa kitanda na na pesa.
Na ukiona mwanamme hakupi apetite hadi utizame sura, jua anajifunza kuwa mwanammme bado hajakamilika.
Hivi mlipita unyagoni kweli nyie?
Au ndo unyago wa Magomeni?
Au chicken hizi chicken party?
Mwanamme anapimwa kwa ujuzi wa kitanda na na pesa.
Na ukiona mwanamme hakupi apetite hadi utizame sura, jua anajifunza kuwa mwanammme bado hajakamilika.
Mwanamme kuwa "smart" (yaani; muongo muongo/mjanja mjanja !) kama unatoa million kumbe elf 10, akishtuka, umemuachia manyoya !mwanaume kutoboka bibie, sura hata nyani anayo.
ha ha....kwa sababu umezaliwa leo....ngoja nisije kukubemenda bure mie.....
Mwanamme kuwa "smart" (yaani; muongo muongo !) kama unatoa million kumbe elf 10 !
maneno kuntu ! Wasssira anaweza kukupa mzuka kama mmewasha taa ?
ha ha....kwa sababu umezaliwa leo....ngoja nisije kukubemenda bure mie.....
mie mwenyewe kungwi bibi hahahah lol, sifa ya mwanaume aijua alienae au vepee kongosho. Ila hawa wenye sura za mama zao cku hz c ndo mtalimbo dorooo,
Bora hata uwe dorooo, unaolewa na mume naye ana bwana Khah!
e e e.... Kongosho....ina maana viserengeti ndio vihendsome pekee....puliiz....