hahahaha kaesma awe na kazi na 33+ we andika barua ya maombiMimi niko tayr ila ninamiaka 29...Nina Elimu Ya degree bado sijaajiliwa.. Naomba kuwasilisha
Bora aweke maana hata akipeleka mchumba kwao swali.la.kwanza kuulizwa ni je huyo ni kabila gani?usiweke kabila bwana
Acha kunichongea amesema niwe serious tu... Ajira ukishakuwa Na Elimu ni AJIRA tosha si lazima ukabidhiwe ofisihahahaha kaesma awe na kazi na 33+ we andika barua ya maombi
basi sawaBora aweke maana hata akipeleka mchumba kwao swali.la.kwanza kuulizwa ni je huyo ni kabila gani?
si umesema wewe huna ajira? analau umejitambuaAcha kunichongea amesema niwe serious tu... Ajira ukishakuwa Na Elimu ni AJIRA tosha si lazima ukabidhiwe ofisi
Kila la kheri dada mungu atakusaidia utampata , me nimekosa kigezo kimoja tú hapoAm 28
looking for a man ready to start a family with me sio utani..niko serious
Nimeajiriwa kampuni binafsi,
sina mtoto,
mimi ni mkristo mlutheri
kabila langu mchaga,
mwanaume atakayekuja
awe 33+
mkristo
anajishughulisha
awe so serious na hili swala sio utani
if u think ukoserious just nipm.
Kila la kheri na mwanaume atakayekuja.mwanaume atakayekuja
awe 33+
mkristo
anajishughulisha
awe so serious na hili swala sio utani
if u think ukoserious just nipm.
Karibu tukuoe magrate kimaroNa mm jaman nahitaji MTU Wa kunioa
HAHAHahahaaa duuu keep waitn c* anguNa mm jaman natafuta MTU Wa kunioa
hahahaha kaesma awe na kazi na 33+ we andika barua ya maombi