Mgodo visa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2016 Posts 3,589 Reaction score 3,639 Jan 3, 2017 #21 Kama uko makini weka picha yako.....!! Wadau waweze kufanya tathmini...
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,705 Jan 3, 2017 #22 Twende zetu makutano junction (pm) tumalize biashara mtu mwenye shida na bidhaa hana longolongo..!
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Jan 3, 2017 #23 elmagnifico said: Kasema wa kuishi naye mkuu yani nimeipenda hii nshawahi pm maana bahati kama hizi haziji mara mbili. Akina amina wao wanataka wa kuwaoa. Click to expand... ha ha
elmagnifico said: Kasema wa kuishi naye mkuu yani nimeipenda hii nshawahi pm maana bahati kama hizi haziji mara mbili. Akina amina wao wanataka wa kuwaoa. Click to expand... ha ha
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,729 Jan 3, 2017 #24 Hii tabia mbaya ya wewe mtetea kutukimbiza sisi majogoo umeianza lini eti?....ehh?
johnson godfrey Member Joined Sep 5, 2015 Posts 11 Reaction score 0 Jan 3, 2017 #25 Njoo pm tuongee maisha
Makuku Rey JF-Expert Member Joined Dec 31, 2013 Posts 3,647 Reaction score 4,199 Jan 3, 2017 #26 mbona NEW MEMBER?
bhachu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 8,737 Reaction score 10,364 Jan 3, 2017 #27 ubuyu1989 said: Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27 nahitaji mwanaume wa kuishi nae mimi, nipo serious, maelezo zaidi ni pm tuzungumze kuhusu dini, na kazi na ninapoishi, kejeli pembeni. Click to expand... Bila picha hata unafikiri inanoga mkuu
ubuyu1989 said: Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27 nahitaji mwanaume wa kuishi nae mimi, nipo serious, maelezo zaidi ni pm tuzungumze kuhusu dini, na kazi na ninapoishi, kejeli pembeni. Click to expand... Bila picha hata unafikiri inanoga mkuu
galatia JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 342 Reaction score 829 Jan 3, 2017 #28 Kila la kheri shosti na hongera kwa ujasiri utampata soon
Santi JF-Expert Member Joined Oct 30, 2016 Posts 555 Reaction score 1,214 Jan 3, 2017 #29 elmagnifico said: Kasema wa kuishi naye mkuu yani nimeipenda hii nshawahi pm maana bahati kama hizi haziji mara mbili. Akina amina wao wanataka wa kuwaoa. Click to expand... Hahaaa mkuu kumbe nilikuwa nakukimbizia ndege wako, nisamehe mkuu🙁🙁
elmagnifico said: Kasema wa kuishi naye mkuu yani nimeipenda hii nshawahi pm maana bahati kama hizi haziji mara mbili. Akina amina wao wanataka wa kuwaoa. Click to expand... Hahaaa mkuu kumbe nilikuwa nakukimbizia ndege wako, nisamehe mkuu🙁🙁
Betterhalf JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 2,882 Reaction score 2,561 Jan 3, 2017 #30 Kila la kheri mkuu.
princess peter Member Joined Aug 31, 2016 Posts 75 Reaction score 45 Jan 3, 2017 #31 Kila la kheri dear, mungu akukumbuke katika ujasiri wako akupe wa kukufaa
T Thomas Edo Member Joined Apr 13, 2016 Posts 33 Reaction score 1 Jan 6, 2017 #32 Nitafute kama utakuwa haujapata 0745645518
C cj21125 JF-Expert Member Joined May 12, 2013 Posts 3,588 Reaction score 3,521 Jan 6, 2017 #33 Elly Paulo said: Pm ndo wapi mkuu? Click to expand... PM maana yake ni Pwani na Morogoro yani anamaanisha huyu mtu anapatikana mkoa wa Pwani au Morogoro kwa hiyo umfuate huko huko mkaongee vizuri zaidi.
Elly Paulo said: Pm ndo wapi mkuu? Click to expand... PM maana yake ni Pwani na Morogoro yani anamaanisha huyu mtu anapatikana mkoa wa Pwani au Morogoro kwa hiyo umfuate huko huko mkaongee vizuri zaidi.