Huwa nikiona yale matangazo ya 'kwa hisani ya watu wa marekani' natamani kutimua mbio
Ndio hapo jiulize madiwani huko Mara waligoma kupokea madawati kisa yameandikwa Esta Bulaya, ila yale ya yenye hisani ya Marekani wanapokea bila tatizoHuwa nikiona yale matangazo ya 'kwa hisani ya watu wa marekani' natamani kutimua mbio
Kuna neno ngoja nisiliseme[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Ndio hapo jiulize madiwani huko Mara waligoma kupokea madawati kisa yameandikwa Esta Bulaya, ila yale ya yenye hisani ya Marekani wanapokea bila tatizo
Ni nani kama baba?
Shetwani mkubwa huyuNi nani kama baba?
Kuna neno ngoja nisiliseme[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Hapana nitaitwa mchochezi hilo kosa dhamana yake ngumuFunguka tu mkuu wangu.
Kuna neno ngoja nisiliseme[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Ngoja nitafute kinga kwanzaAiiii sema bwana Mshana jr
ha hahahahahaHuwa nikiona yale matangazo ya 'kwa hisani ya watu wa marekani' natamani kutimua mbio