Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
dah uko smart sana, zawadi hiyooooo pokeaTunajua
Iko wapidah uko smart sana, zawadi hiyooooo pokea
nipigie au nitumie smsIko wapi
Sawanipigie au nitumie sms
Sijui kwanini hipo hivi mkuu, yaani ukijifanya unajali tu unaliwa.Jinsi unavyozidi kumjali mwanamke ndivyo anavyozidi kukuona Lofa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jinsi unavyozidi kumjali mwanamke ndivyo anavyozidi kukuona Lofa.
Jinsi unavyozidi kumjali mwanamke ndivyo anavyozidi kukuona Lofa.
Mwanaume akilalamika Ujue Anajali,Mwanaume akichukia ujue alikuamini,Mwanaune akikuuliza jambo ujue anajaribu kupata ukweli.
Mwanaume akinyamaza na kuacha mambo yaende ujue Amakata Tamaa na Kama Hafanyi chochote kati ya Hayo TAMBUA UMEPOTEZA MWANAUME MZURI SANA KWENYE MAISHA YAKO.
Huyu ndo kaiiba Twitter... Hayo maneno yana kama siku mbili hivi huko Twitter.Hii kitu nimeiona twitter sasa sijui nani kachukua kwa mwenzake
Ujumbe mzuri though
Kweli..Jinsi unavyozidi kumjali mwanamke ndivyo anavyozidi kukuona Lofa.