Habari zenu!
Wanaume wengi hujikaza sana wanapotaka kumtokea mwanamke mzuri au aliyesoma.
Hii inaonesha jinsi wasivyojiamini ndo maana wengi hukimbilia kutongozea mitandaoni.
Ukimtazama sana usoni mwanaume anae kutongoza kama hajiamini lazima atazame pembeni au abadiri mada.
Wadada msiyependa kupotezewa muda na mijianaume msiyoipenda itazameni usoni haitakuwa na ujasiri tena.
Siku hizi ni [emoji160] [emoji175] [emoji176] [emoji177] [emoji180] [emoji173] [emoji178] [emoji179] [emoji76] [emoji39] [emoji8] [emoji7] unakuwa ushaelewekaHivi dunia hii bado kuna watu wanatongoza??
Kwa mganga kufanya nini?