Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,403
- 465,281
Kwahiyo kushinda jf ndio nini kwa mfanohebu jielezee wewe ulivyo maana kutwa kucha washinda JF
Kwahiyo kushinda jf ndio nini kwa mfanohebu jielezee wewe ulivyo maana kutwa kucha washinda JF
aisee [emoji23][emoji23][emoji23]Dawa ndio hiyo unatia nukta kwanza alafu ndio unaanza kusoma ukianza kutoa mchango unaedit ile nukta yako tu na mchango ukakaa pale pale juu [emoji23][emoji23]
unafilisi duka huko...huoni jamaa analalamikaKwahiyo kushinda jf ndio nini kwa mfano
Kwendraaa uko acha afilisiwe tuunafilisi duka huko...huoni jamaa analalamika
[emoji23][emoji23]aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
KumbeeeDawa ndio hiyo unatia nukta kwanza alafu ndio unaanza kusoma ukianza kutoa mchango unaedit ile nukta yako tu na mchango ukakaa pale pale juu [emoji23][emoji23]
Hahah!! NdioKumbeee
mwanamke ni kiumbe dhaifu itabaki kuwa hivyo,nyie wateteeni wameficha makucha ipo siku watakutendea kitu na hautaaminiMkuu unawatetea bwana
Yap wapo wa hivyo. Nawaita smart minds. Yaani dada mzur and yet ni smart kwenye kazi.Sio wote Mkuu!
Kuna mwanamke mwingine unakutana nae mpaka unajiuliza unempa nini Mungu jinsi mwanamke alivyo mzuri ana akili na alivyo na heshima!
Wanajua tu matumizi , lakin kuzitafuta hawajui.na niseme tu hizi dalili huonekana mapema sanaaa kwenye uchumba. Mfungulie biashara mchumba wako au mpe kias kikubwa cha pesa akuhifadhie uone ...Kunawanawake majembe balaa,,akiweka mkono kwenye shughuli zako tu pesa zinatiririka kama maji,
Wanawake wengine ni ovyo kabisa bado hawajui kuithamini shilingi