triciamasawe
Member
- Mar 14, 2013
- 21
- 5
Mhhhhhh!no coment...nisije pigwa na mimisamasawe tatizo yawezekana tutakua tumetoka koo moja. Na mie naitwa Mushi Masawe
Katika zote niliwahi kuzisoma hii ina sound very serious! Mie nakidhi vigezo vyote isipokuwa nilizohighlight kwa rangi nyekundu.:smile-big: Kila la heri Patricia!Ni mama (miaka 33) wa watoto wawili kwa baba mmoja, muajiriwa na ninafanya biashara, kielimu nina shahada, naishi na watoto wangu mwenyewe. Mwili wangu wa wastani kabisa, rangi light brown.
Ni haja ya moyo wangu na ikimpendeza mungu nikutane na mwanaume (single/divorced/widowed) anayeishi peke yake na asiyekuwa na mahusiano, ambaye hasa anahitaji kuwa na serious relationship ambayo ikipendeza tutaelekea next steps.
Awe mkristo mcha mungu, awe na wa/mtoto, awe mtu anayependa na kujali watoto, business minded, elimu angalau diploma, awe sharp, mchangamfu, aliyeajiriwa na/au anabiashara binafsi, napenda ambaye yuko busy na shughuli sababu mimi pia niko busy sana tutaendana.
asiyekunywa pombe au anayekunywa kidogo sana, wa kanda ya kaskazini itapendeza lakini si muhimu sana. Awe anayejipenda na awe na mwili wa wastani.
Maswali yote PM tafadhali, au mail triciamasawe@yahoo.com
Asanteni.
haha si jina halisimasawe tatizo yawezekana tutakua tumetoka koo moja. Na mie naitwa Mushi Masawe
Ugumu uko wapi Jamani, kama uko kwenye relationship hapo pagumu kweli yani.Aisee masharti magumu ila natoka kazkazini nina shahada............
Ni mama (miaka 33) wa watoto wawili kwa baba mmoja, muajiriwa na ninafanya biashara, kielimu nina shahada, naishi na watoto wangu mwenyewe. Mwili wangu wa wastani kabisa, rangi light brown.
Ni haja ya moyo wangu na ikimpendeza mungu nikutane na mwanaume (single/divorced/widowed) anayeishi peke yake na asiyekuwa na mahusiano, ambaye hasa anahitaji kuwa na serious relationship ambayo ikipendeza tutaelekea next steps.
Awe mkristo mcha mungu, awe na wa/mtoto, awe mtu anayependa na kujali watoto, business minded, elimu angalau diploma, awe sharp, mchangamfu, aliyeajiriwa na/au anabiashara binafsi, napenda ambaye yuko busy na shughuli sababu mimi pia niko busy sana tutaendana.
asiyekunywa pombe au anayekunywa kidogo sana, wa kanda ya kaskazini itapendeza lakini si muhimu sana. Awe anayejipenda na awe na mwili wa wastani.
Maswali yote PM tafadhali, au mail triciamasawe@yahoo.com
Asanteni.
Awali ya yote sidhani kama vigezo ulivyotoa hapo juu ndio utapata wa hivyo yani awe anapenda watoto na kujali watoto aliowakuta wa mwanaume mwingine labda mbulula ila na tena awe na elimu ya diploma yan ameajiliwa labda wewe unaoa na siyo kuolewa na umetanguliza ukanda huo kaskazini mume siyo lazima muwe kabila moja na ukipata hapa JF utegemee kuchezewa tu nakuomba umuombe mungu tu na uwe na tabia nzuri utapata tu hivi akikuona aliyezaa na wewe hapa JF na tangazo lako hili satajisifu kuwa alikuacha kuwa makini na njia za kutafuta wachumba
Aiwezekani. Mushi Massawe?masawe tatizo yawezekana tutakua tumetoka koo moja. Na mie naitwa Mushi Masawe
Ugumu uko wapi Jamani, kama uko kwenye relationship hapo pagumu kweli yani.
Diploma sound good sababu degree aitunzi mume hapo soko lako zuriNi mama (miaka 33) wa watoto wawili kwa baba mmoja, muajiriwa na ninafanya biashara, kielimu nina shahada, naishi na watoto wangu mwenyewe. Mwili wangu wa wastani kabisa, rangi light brown.

Ni haja ya moyo wangu na ikimpendeza mungu nikutane na mwanaume (single/divorced/widowed) anayeishi peke yake na asiyekuwa na mahusiano, ambaye hasa anahitaji kuwa na serious relationship ambayo ikipendeza tutaelekea next steps.

Awe mkristo mcha mungu, awe na wa/mtoto, awe mtu anayependa na kujali watoto, business minded, elimu angalau diploma, awe sharp, mchangamfu, aliyeajiriwa na/au anabiashara binafsi, napenda ambaye yuko busy na shughuli sababu mimi pia niko busy sana tutaendana.

asiyekunywa pombe au anayekunywa kidogo sana, wa kanda ya kaskazini itapendeza lakini si muhimu sana. Awe anayejipenda na awe na mwili wa wastani.

Maswali yote PM tafadhali, au mail triciamasawe@yahoo.com

Asanteni.
Aisee tatizo ni kubwa mpendwa, naona kama hautaielewa situation yangu ya kuwa na watoto vizuri, thats why nahitaji mwenye mtoto. Pole sana usikate tamaa kuna mabinti wengi utapata mmoja.Umri pia ni mdogo kiasi ila sio sana....halafu sina mtoto