Mwanasiasa yupi wa upinzani anafaa kugombea Urais 2020 kwa tiketi ya UKAWA?

mimi nadhani safali hii mzee angepumzika tujaribu mtu mwingine
Mtajaribu sana! Slaaa mmemchezea ambaye amekiweka chama pazuri msitegemee kupata jembe tena! Na mwenyekiti wenu aliyejaa tamaa , hadi muanze na kubadili mwenyekiti ndo mtawapata wagombea wazuri! Wote wanaosimama ni kwa interest ya chair wenu!
 
wakati tukiwa tumebakiza miaka michache kuingia katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 .

hivi unadhani ni mwanasiasa gani kupitia umoja wa katiba ya wananchi ukawa angefaa kupeperusha bendera ya upinzani

upande wangu nawakubali sana tundu lissu au john heche wangepeperusha bendera je wewe upande wako unadhani ni nani angefaa.
Maswala ya ukawa waachie wenyewe. Wewe jiulize kwenu ni yupi?
 
Wakati tukiwa tumebakiza miaka michache kuingia katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Hivi unadhani ni mwanasiasa gani kupitia umoja wa katiba ya wananchi ukawa angefaa kupeperusha bendera ya upinzani.

Upande wangu nawakubali sana Tundu Lissu au John Heche wangepeperusha bendera je wewe upande wako unadhani ni nani angefaa.

HAKUNA YEYOTE MWENYE SIFA. Pengine Dr Slaa
 
Wakati tukiwa tumebakiza miaka michache kuingia katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Hivi unadhani ni mwanasiasa gani kupitia umoja wa katiba ya wananchi ukawa angefaa kupeperusha bendera ya upinzani.

Upande wangu nawakubali sana Tundu Lissu au John Heche wangepeperusha bendera je wewe upande wako unadhani ni nani angefaa.
Fanyeni vikao ndani ya vyama vyenu halafu ndio mlete majina. Mnatupotezea muda. Tunapambana na mengine.
 
Wakati tukiwa tumebakiza miaka michache kuingia katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Hivi unadhani ni mwanasiasa gani kupitia umoja wa katiba ya wananchi ukawa angefaa kupeperusha bendera ya upinzani.

Upande wangu nawakubali sana Tundu Lissu au John Heche wangepeperusha bendera je wewe upande wako unadhani ni nani angefaa.
Hakuna MTU mwenye sifa ya kugombea Urais UKAWA labda Dr Slaa arejeshwe. Wengineo labda Utendaji wa Kata ndio wanatosha
 
unaota

chadema waliobaki wote ni wauata mkumbo, wanaojielewa akina mnyika wako kimya

wamfie Lissu, walishindwa kumfia Slaa??

mrudisheni slaa
Kwabi chadema walimtimua slaa mpaka wamrudishe?? Si aliondoka mwenyewe kwa ushauri wa mke wake baada ya slaa kukubali lowasa awe mgombea urais hku josephine amekataa!! Sasa kma aliona familia ni bora kuliko ukombozi wa taifa twende tukamuite tena wa nni??? Chadema hatuendeshwi na watu hta siku moja aliondoka zitto na slaa na arfi na kabourou n.k ila bado chama kilivuka uchaguzi mkuu salama na kma hakikuvunjika kipindi kike hakitiwahi vunjika milele
 
Hakuna MTU mwenye sifa ya kugombea Urais UKAWA labda Dr Slaa arejeshwe. Wengineo labda Utendaji wa Kata ndio wanatosha
Haahhahahaha ccm bhana wakati mwaka juzi tu mlikuwa mnamuita babu na sijui padri mzinifu je ni lini slaa ameacha kuwa padri mzinifu adi leo useme anafaa kugombea urais???
 
Wakati tukiwa tumebakiza miaka michache kuingia katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Hivi unadhani ni mwanasiasa gani kupitia umoja wa katiba ya wananchi ukawa angefaa kupeperusha bendera ya upinzani.

Upande wangu nawakubali sana Tundu Lissu au John Heche wangepeperusha bendera je wewe upande wako unadhani ni nani angefaa.
maalim seif sharif hamad
 
Kwa yanayoendelea sijaona afadhali ya upinzani wala ccm.

Sometimes natamani nchi ikodishwe japo kidogo may be tunaweza kufika tunapopatamani
 
Nasikia Wema sepetu ana followers wengi instagram labda apewe hiyo nafasi agombee, maana lowassa alipewa kwahiyo wasimbanie wema
 
ZITTO ZUBERI KABWEEE....Mpaka sasa jamaa ni kinara hana mpinzani waliobaki woote ni wababaishaji..

Waziri mkuu wake awe mzee wa CHATO nazani hapo sasa tutapata team saafi ya kumkwamua Mtanzania
 
Back
Top Bottom