Kwa mtu mwingine yeyote anayeweza kunisaidia,
Katika sheria za Tanzania, hususani mifugo, kuna kipengele kinacho husiana na ukadiliaji (ukubwa na thamani) ya marisho?
Ikibidi nitahitaji mwanasheria wa maswala ya mifugo upande wa ukadiliaji wa thamani ya marisho.
Tehe.... mandwa, kazi tunayo. Mpaka leo, katika Watanzania takribani millioni 20 wenye umri zaidi ya miaka 18, hakuna aliye jitokeza kutoa shauri. Je, watu wenye taaluma kama hiyo hatunao kaka jamii? mhhh!

josam, ushauri hurolewa sana tu. Hapa tatizo umesema unahitaji wakili/mwanasheri, kwenye maelezo unataka ushauri kuhusu makadilio ya malisho toka kwa mwanasheria wa mifugo. Hapo hakuna mwanasheria atakujibu kiusahii, vinginevyo uongezee maelezo mazuri zaidi. Hata hivyo, kwa nilivyokuelewa, hutapata mwanasheria wa mifugo au malisho. hata tanzania hatuna kitu kama hicho. cha msingi nyoosha maelezo, upo? mandwa