Mwanasheria wa kujitolea anahitajika

Mwanasheria wa kujitolea anahitajika

Tafadhari ndugu, naomba ujaribu kulichukulia tatizo la mwenzako kama la kwako....kumbuka hakuna mwenye hati miliki ya matatizo. Mimi/wewe/yule yoyote anaweza jikuta kwenye nafasi ya huyo Dada, hata sasa hivi. Kwani maisha yetu binadamu yamejawa na kila aina ya mafumbo(ndio maana atuijui hata kesho yetu ipoje)....so please usimdiscourage huyo dada, bali naomba umpe ujasiri....maana ndio kitu pekee anachokiitaji katika kipindi hiki kigumu.

Samahani lakini, kama nimekukwaza ndugu yangu @wa kupuliza
Lugha yenyewe unayotumia haina hata chembe ya unyenyekevu
 
Back
Top Bottom