drmkumba
Member
- Dec 27, 2010
- 52
- 1
Nimechoka sana na kauli iliyotolewa leo na mwanasheria mkuu wa serikali " eti kuwa na nywele sio kuwa na uwezo wa kufikiri".Kauli hii aliitoa leo bungeni pindi Mh.Tundu Lissu akiungwa mkono na Mh.Deo Filiponjombe na Mosesi Machali kutaka bunge lijadili kuhusu ajali ya meli ya Stargic.Baada ya hapo Mh.Tundu Lissu aliomba mwongozo wa spika kuhusu kauli hiyo lakini alichinjiwa baharini na Mh.Ndugai kwa madai ya kwamba hoja yake haikuungwa mkono!