Mwanasheria mkuu wa serikali wapi busara zako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanasheria mkuu wa serikali wapi busara zako?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by drmkumba, Jul 20, 2012.

 1. drmkumba

  drmkumba Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimechoka sana na kauli iliyotolewa leo na mwanasheria mkuu wa serikali " eti kuwa na nywele sio kuwa na uwezo wa kufikiri".Kauli hii aliitoa leo bungeni pindi Mh.Tundu Lissu akiungwa mkono na Mh.Deo Filiponjombe na Mosesi Machali kutaka bunge lijadili kuhusu ajali ya meli ya Stargic.Baada ya hapo Mh.Tundu Lissu aliomba mwongozo wa spika kuhusu kauli hiyo lakini alichinjiwa baharini na Mh.Ndugai kwa madai ya kwamba hoja yake haikuungwa mkono!
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,282
  Likes Received: 12,993
  Trophy Points: 280
  Werema hampendi Lissu na jinsi Werema akili yake ilivyo ndogo ukute anafikiri Lissu ataichukua kazi yake ndio maana anamkosoa kila mara kwa siku ya leo ingekuwa vizuri kama wangekubali hoja ya Lissu ili tuweze jua nini kilitokea je hao TMA walikuwa hawajui hali ya hewa ilivyokuwa?
   
 3. b

  bantulile JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,439
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Kwa akili ya Werema huwa anamwangalia mtu na sio hoja, lakini kiti (mwanasheria mkuu)anachokalia kinataka kuangalia hoja, hivi kwa mantiki hiyo Werema anapishana na kiti chake anajitumikia yeye mwenyewe matakwa ya nafsi yake huku akila posho ya mwanasheria mkuu. Huu ni sawa na wizi.
  Ndungai naye kama kawaida yake anamwangalia Lisu kama CHADEMA na anajiona yeye kama CCM. Lakini kiti anachokalia ni cha Bunge Tukufu la Jamhuri ya Tanzania. Nywele za Ndungai na Werema zinaonyesha jinsi wanavyofikiri tofauti na wanvyopaswa kufikiri ingawa wote wawili wana nywele.
  Waingereza wana usemi wanasema 'Self qualification is no qualification' ikimaanisha sifa ya kujipa wewe mwenyewe haina thamani. Sasa tuwaangalie hawa watu watatu: Lisu, Ndungai na Werema, nani hajui kufikiri japokuwa anazo nywele? Nipeni jibu wana JF wekeni na supportings zenu bila biasness
   
 4. j

  jossy chuwa Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wEerema+nDugai= 0!
   
 5. j

  jossy chuwa Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No nimesahau magazijuto (wErema+nDugai)x(cCm-CDM):(nCcr+cUf)=O¿O:)
   
 6. N

  Nambombe Senior Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Saa ya ukombozi inakaribia
   
 7. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  warema sijui hata hiyo kazi ya ujaji alikuwa naifanyaje.... nina imani aliyoyasema Lisu kuhusiana na uteuzi wa majaji yana ukweli
   
 8. K

  Kyindokyakombe Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jina lake SI WEREMA bali ni REHEMA MWANA-ASHA na siyo mwanasheria.
   
 9. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  AG Werema amedhihirisha kuwa ni kilaza wa kutupwa!!

  Tunaomba CV yake hapa ukumbini ili tumjadili. HAIWEZEKANI HATA KIDOGO WEREMA AONGEE UTUMBO KAMA HUU BUNGENI! JE,INA MAANA WEREMA HAIJUI ILE METHALI INAYOSEMA,
  ''AKILI NI NYWELE KILA MTU ANA ZAKE????

  Nashindwa kuoanisha maneno ya Werema na hiyo methali maarufu ambayo hata mtoto wa darasa la 1 anaifahamu. Werema ni janga la Kitaifa ndani ya Bunge.
   
Loading...