Kosa kubwa alilofanya ni kuwa aliulizwa na Senate kama aliwahi kukutana na Balozi wa Urusi Wakati wa kampeni za Uchaguzi wa Rais, akakataa kata kata Wakati FBI walishajua kitambo ukweli wa mambo. Hivyo alisema uongo chini ya kiapo na hilo kwa wenzetu ni kosa kubwa sana. Kwetu tungesema "Jamani ni binadamu alisahau na ingeishia hapo".Mwanasheria mkuu wa Donald Trump amehutumiwa kuwa alifanya mawasiliano na balozi wa urusi wakati wa kampeni. Hivyo ameombwa kujiweka pembeni ili uchunguzi dhidi yake ufanyike. Je ,hapa kwetu nani yuko radhi kupisha uchunguzi? Ingawaje bado hajajiuzulu ni dhahiri kuwa atafanya hivyo.
Obama na wenzake ndo wanahaha.Trump asije maliza miaka yake yote minne kwa matukio kama huku kwetu bila maendeleo yoyote ila visa kila siku
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
Jiulize, kwa niniHuu utawala wa Bwana Trump haujatulia kabisa
Huu upuzi wako ungewezekana hapa Tanzania tu, nchi isiyostaarabika inayowakumbatia viongozi wa hovyo wasio na weledi, hekima wala busara wakitegemea kung'ang'ania kubaki madarakani kwa kutumia vyombo vya dola. Pia kumbuka katika maswala yanayogusa maslahi ya taifa tofauti za kichama huwekwa pembeni na badala yake utaifa ndio hupewa kipaumbele.Trump asifaye makosa ya kukubalii mteule wake mwingine ku-resign - ashirikiane na chama chake ambacho kinaongoza Bunge ili kiweze kukomesha upuuzi huu ambao unaonekana umeanza kuota mizizi.
Trump akiendelea kuwa sloppy basi wapinzani/maadui wake wataendelea kutafuta mbinu za kumuondoa Madarakani, akiwakomalia mapema wataanza kufikiria mara mbili kabla hawaja attempt mbinu mpya.
Trump hana option. Kitu kizuri kuhusu US ni kwamba Institutions za kule zinafanya kazi inavyopaswa kwa kiasi kikubwa sana. So, jamaa akichunguzwa na kuthibitishwa kuwa alifanya mawasiliano yasiyokubalika na Urusi, itabidi aachie ngazi tu.Trump asifaye makosa ya kukubalii mteule wake mwingine ku-resign - ashirikiane na chama chake ambacho kinaongoza Bunge ili kiweze kukomesha upuuzi huu ambao unaonekana umeanza kuota mizizi.
.
Huu upuzi wako ungewezekana hapa mcb me tu, nchi isiyostaarabika inayalwal$alqhehPafafzowakumbatia viongozi wa hovyo wasio na weledi, hekima wala busara wakitegemea kung'ang'ania kjiiijiaubaki madarakani kwa kutumia vyombo vya dola. Pia kumbuka katika maswala yanayogusa maslahi ya taifa tofauti za kichama huwekwa pembeni na badala yake utaifa ndio hupewa kipaumbele.
Donald Trump anahujumiwa kutokana na tabia yake. Sidhani kama utawala wake utamaliza salama ingawa wakati wa khutba ya bunge jumanne iliyopita alionekana kuongea kwa tahadhari sana.Huu utawala wa Bwana Trump haujatulia kabisa