johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Naomba kujuzwa kama CCM ina mwanasheria mkuu na kazi zake ni gani na gani?
Mlale Unono 😀😀😀🔥
Mlale Unono 😀😀😀🔥
Kwa sasa, nafasi hii inashikiliwa na Bw. Hamza Johari, ambaye aliteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan.Naomba kujuzwa kama CCM ina mwanasheria mkuu na kazi zake ni gani na gani?
Mlale Unono 😀😀😀🔥
Kama unakiri CCM ndio Serikali huko Kijitonyama Kwaya unatafuta nini? 😂😂Kwa sasa, nafasi hii inashikiliwa na Bw. Hamza Johari, ambaye aliteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Kabla ya uteuzi wake, Bw. Johari alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).
Anachukua nafasi ya Dkt. Eliezer Feleshi, ambaye alihudumu kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuanzia Septemba 13, 2021, baada ya kuteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Dkt. Feleshi alikuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kabla ya uteuzi huo.
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imeanzishwa chini ya Ibara ya 59(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977.
CCM NDIO YENYE SEREKALI
Udini huo, tukiongea sisi unakasirikaKama unakiri CCM ndio Serikali huko Kijitonyama Kwaya unatafuta nini? 😂😂
Nafikiri atakuwa Luca Mwashambwa@😀😀😀🔥Naomba kujuzwa kama CCM ina mwanasheria mkuu na kazi zake ni gani na gani?
Mlale Unono 😀😀😀🔥
Karibu CCMUdini huo, tukiongea sisi unakasirika
Mwanasheria Mkuu waserikali ama wa CCM. Kama ni kwa CCM sidhani kama ipo nafasi hiyo.Naomba kujuzwa kama CCM ina mwanasheria mkuu na kazi zake ni gani na gani?
Mlale Unono 😀😀😀🔥
CCM ina Hazina ya Wanasheria akina Godwin Kunambi, Pascal Mayalla, Patrobas Katambi nk...nk 😄Mwanasheria Mkuu waserikali ama wa CCM. Kama ni kwa CCM sidhani kama ipo nafasi hiyo.
Ila kwa kuwa kila kitu kinawezekana ndani ya chama tawala, basi usije ikawa Babu Tera, Msukuma,ama Kibabaji akawa mmojawapo ambaye ndiye anakaimu nafasi hiyo.
Serikali ni ya CCM. Jaji mkuu ni WA CCM, waziri wa katiba na Sheria ni WA CCM, Mwanasheria Mkuu ni WA CCMNaomba kujuzwa kama CCM ina mwanasheria mkuu na kazi zake ni gani na gani?
Mlale Unono 😀😀😀🔥
Anateuwa watumishi wa serikali kwenye nafasi za kisiasa,😳😳Kwa sasa, nafasi hii inashikiliwa na Bw. Hamza Johari, ambaye aliteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Kabla ya uteuzi wake, Bw. Johari alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).
Anachukua nafasi ya Dkt. Eliezer Feleshi, ambaye alihudumu kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuanzia Septemba 13, 2021, baada ya kuteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Dkt. Feleshi alikuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kabla ya uteuzi huo.
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imeanzishwa chini ya Ibara ya 59(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977.
CCM NDIO YENYE SEREKALI
Nili hisi Tlaaltlaah au humu ni a.k.aPopoma mmoja anaitwa Kanyama hahahahaha
Naomba kujuzwa kama CCM ina mwanasheria mkuu na kazi zake ni gani na gani?
Mlale Unono 😀😀😀🔥