Gerad2008
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 583
- 287
Werema anafikiri ataonekana tofauti zaidi ya kuonekana mshabiki tu wa rais. Yeye anataka asimwuzi rais kabisa hata kama hiyo ni kinyume na maadili ya kazi yake. Kwa maana nyingine hana msimamo wake binafsi ni bendera fuata upepo. Naomba mjue wanasheria wengi ni wa serikali na siyo wa wananchi kwa hiyo atafuata matakwa ya aliyemchagua hata kama itamgharimu kudhalilisha fani yake kama werema