Akihojiwa tena na Redio ya idhaa ya kiswahili DW mwanasheria nguri Hussein Shengo wa Tanzania amepinga system inayotumiwa na rais Magufuli kwa njia yake ya utumbuaji.
Akihojiwa kuwa kama inawezekana taasisi ya serikali ikafanya maamuzi bila wizara kujua, alijibu kuwa hilo haiwezekani kabisa lazima wizara ujue ila kinachofanyika ni utowaji wa mbuzi wa kafara au kuwa mtu hatakiwi hivyo anasubiliwa akasee tu ili iwe sababu.
Umesema kuwa dawa ya mambo haya ya uonezi ni katiba MPYA ambayo ndio jibu la mambo yote.
Pia amewatia moyo kuwa wale wote wanaotumbuliwa bila kufuata utaratibu kama ilivyo sasa ni kutafuta haki hiyo mahakamani na ana uhakika wataipata.
CHANZO: DW saa12jioni trh 2 2017