Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,845
asante sanaWhen your emotions run too high, your logic will be low, which can lead to irrational decisions
Ukishakua na hasira kaa mbali na kilichofanya upate hizo hasira mpaka utakaporudi kwenye hali ya kawaida
Ujumbe umepokelewa, asante kwa ushauri wako.Pole sana ndugu nikuombe kitu kimoja kwanza kabisa mtumainie sana Mungu, pili ningalikuomba usome vitabu vya fasihi sana hasa za maisha,iwe kilimo,ufugaji au taaluma ingine yoyote unayoitumikia. na ujaribu sana kutafuta mtu wakuwa unamwomba ushauri kila uonapo kuna swala limekukwaza, na ujifunze kuachia kitu badala ya kubeba kwenye Moyo/rohoni mwako uwe na tabia ya kuachia mambo usiweke kinyongo, mara nyingi huzaa hasira. tungojee na wengine waje waseme.
Tumsukuru Mungu kwa kila jambo.Ujumbe umepokelewa, asante kwa ushauri wako.
dah! ni kweli mimi nimpumbavu, hata mimi najijuaKulingana na maandiko ya Suleiman wewe ni mpumbavu.
Hivyo basi kinachopaswa kwako ni kukomesha upumbavu ulioko ndani yako.
Samahani lakini
View attachment 2420789
Ndg members wote, habari za wakati huu? Ofcoz ni nzuri.
bila kupoteza muda, kama unafahamu chochote kuhusu tatizo hili, naomba neno lako la hekima ukinishauri;
Tatizo langu ni hasira za mara kwa mara!
ndg zangu, baada ya kugundua kuwa nina tatizo hili, nimejitahidi kufanya mazoezi ili kuondokana nalo lakini sijafaulu!
huwa ninakereka sana ninapofanya maamuzi magumu yakiongozwa na tatizo hili, naliita tatizo kwa sababu ni tatizo kweli (limeshanigharimu)
si jambo dogo, wala kubwa linalonijaza hasira; naweza kufanya jambo na baada ya mda kidogo nakuwa mnyonge ninapohisi nimefanya lisilo jema sababu "hasira"
watu wananishangaa sana, namm kuna wakati nahisi hatia sana (japo sijionyeshi)
ok nisiandike sana mpaka nikakera...
nafikiri nimeshaeleweka.
Je, nifanye nini kulidhibiti tatizo hili?ingia instagram, mwoce_aid.
samahani mkuu weka ka mnofu kidogo hapo, kwa faida yanguTatizo lipo kwenye past yako, kwenye makuzi yako
Kuna mapungufu unajaribu kuyaficha kwa kuwa na hasira nyingi
Ndg members wote, habari za wakati huu? Ofcoz ni nzuri.
bila kupoteza muda, kama unafahamu chochote kuhusu tatizo hili, naomba neno lako la hekima ukinishauri;
Tatizo langu ni hasira za mara kwa mara!
ndg zangu, baada ya kugundua kuwa nina tatizo hili, nimejitahidi kufanya mazoezi ili kuondokana nalo lakini sijafaulu!
huwa ninakereka sana ninapofanya maamuzi magumu yakiongozwa na tatizo hili, naliita tatizo kwa sababu ni tatizo kweli (limeshanigharimu)
si jambo dogo, wala kubwa linalonijaza hasira; naweza kufanya jambo na baada ya mda kidogo nakuwa mnyonge ninapohisi nimefanya lisilo jema sababu "hak
Kwanza hongera kwa kujijua hiyo ni hatua no1 ya kulitatua tatizo lakosira"
watu wananishangaa sana, namm kuna wakati nahisi hatia sana (japo sijionyeshi)
ok nisiandike sana mpaka nikakera...
nafikiri nimeshaeleweka.
Je, nifanye nini kulidhibiti tatizo hili?
ushauri kama huu sijawahi kuupata kokote mtaani!K
Kwanza hongera kwa kujijua hiyo ni hatua no1 ya kulitatua tatizo lako
Pili hongera kwa kukubali kwamba upo hivyo
FANYA HAYA...
*Kwanza jifunze kusema samahani unapo kosea na hata inapo tokea aliye kukosea hataki kukuomba msamaha
*Pili kuwa na tabia ya kuskiliza Sana kuliko kuongeza Sana na usikimbilie kujibu kabra hujaelewa
nakama huja elewa uliza kwa sauti ya upole mfano.unaweza uliza hivi.
Samahani hapa sija elewa unaweza kuni elewesha vizuri?
*epuka kuzungumza mtu anapo zungumza
na unapo ona mtu hataki kukupa nafasi ya kuzungumza
FANYA hivi
Zuga Kama simu yako inaita.
Kisha omba samahani kwa ishara kwamba utarudi uongee na simu Kwanza
ondoka eneo Hilo mpaka hakili yako itakapo kuwa sawa
Utakapo kuwa umezoea kufanya hivyo hiyo itakuwa ndiyo tabia yako kwani tabia Nima zoea
Inawezekana kuna mambo umeyapitia utotoni au ameyaona na bado yanakusumbuasamahani mkuu weka ka mnofu kidogo hapo, kwa faida yangu
unachokisema kinaweza kuwa kweli